Askofu Pengo akunwa na Ufaulu shule za kanisa

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217

Chanzo: Habari leo

My Take : Je viongozi wa dini nao wamekuwa wanasiasa?
 
Mchungaji Msigwa
Padre Willbroad Slaa
Mchungaji Israel Natse wanaweze kukujibu uchokiuliza hapo mwisho wa thread yako.
 
mshaanza mambo yenu

Mkuu huo ni ukweli mtupu.
I dont trust these schools tangu nisikie kutoka kwa student aliesoma shule nyengine kama hio ya milleniam ambayo ilikua ya kwanza Tz.
Waliwekewa vitabu chooni kwenda kucopy !!!!!
Naamini bado hayo yanaendelea
 
pathetic
 
alhalamain sijui vp matokeo yao na kinondoni muslim wadau
 
alhalamain sijui vp matokeo yao na kinondoni muslim wadau
Tanzania nzima shule ni kinondoni Muslim tu?Hawa wanafunzi wa kiislam,matokeo wanayoyapata ni ya kihalali,sio ya kucopy na kupaste.Hao unaosikia wa shule za kanisa,kushikia,ndio hawa wanaokuja tia operesheni ya kichwa mguu,na mguu ya kichwa,au magorofa kuanguka.
 
operesheni ya mguu/kichwa ilifanywa na Dr nani vile?
 
Hizo zote huwa ni shule za biashara ndo maana huwa wanakuwa na mipango ya kuvujisha mitihan tofauti na shule za kiislam zinazofuata haki! mbona tukiwa nao vyuoni tunawafunika sisi tuliotoka shule za kata?
 
Mchungaji Msigwa
Padre Willbroad Slaa
Mchungaji Israel Natse wanaweze kukujibu uchokiuliza hapo mwisho wa thread yako.

Ni heri upofu wa macho kuliko upofu wa akili.. Makamee una upofu wa akili Rais wa kwanza wa Zanzibar alikuwa Sheik hilo ulioni unaumizwa na Upadri wa slaa na uchungaji wa Natse na Msigwa Makamu wako wa kwanza wa rais ni Maalim au hujui maana ya maalim?
Shule ya Al Muntazir imetoa mwanafunzi bora kati ya kumi bora hilo hulioni umekalia majungu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…