Wenzenu wanaamshana wakapige Lambert nyie mnaamshana mkafakamie daku usiku kucha mnatafuna tuu kama mchwa mchana mko taaban.
Mmevimbiwa.
Wewe unazungumza kwa jazba .mimi nakupa ukweli kabisa. Mwanafunzi aliesoma ni mkristo cousin zake ni waislam walizungumza kwa ukweli kabisa ya kuwa msimamizi wa mtihani alikua mjamzito na wanafunzi walikua huru ku share jawabu .
Wakienda chooni ambako kulikua na vitabu na kurudi kwa sharti la ku share.
Sio suala la daku au futari .
Hawa jamaa wa seminari wenye 1st div. Numekutana nao wengi chuoni na hawakuinesha kuwa walipata msingi sawasawa.
Nakupa mfano mwengine Almuntanzir school ni moja ya school safi yenye walimu wazuri mpaka kutoka Kenya na india. School yao ina library ya kujitosheleza
Ina laboratory ilo sheheni vifaa.
School ina program nzuri ya kuwassidia hata wale ambao ni wazito.
School hizi ni za kisasa kabisa kuliko shule yoyote ya kanisa.ina bajeti ya kutosha kabisa .
Lakini linapokuja suala la necta walikua wakifelishwa kila mwaka...uongozi wa shule walichukua jukumu la kubadilisha mitaala na kufanya mitihani ya Cambridge na IGCSE
leo watafunzi wa hapo wako juu na kuna wanafunzi kama 8 wamepata 100% scholarship kwenda vyuo mbali mbali canada ikiwemo Unuversity ya Alberta.
Wangengangania necta wangepewa zero.
Hii pia ipo Jaffery Academy kule arusha.
Wapo vijana wengine wakiislam walipitia ISM Moshi na huko wamepata scholarship kwa kuwa juu .
Ukweli utabaki necta majanga na seminary wanahujumu uwezo wa watoto kwa kuwachia kucopy.