Askofu Pengo akunwa na Ufaulu shule za kanisa

Mkuu huo ni ukweli mtupu.
I dont trust these schools tangu nisikie kutoka kwa student aliesoma
shule nyengine kama hio ya milleniam ambayo ilikua ya kwanza Tz.
Waliwekewa vitabu chooni kwenda kucopy !!!!!
Naamini bado hayo yanaendelea

Hivi uliwahi kufanya mtihani kweli wewe?
Wakupe mtihani alafu majibu ukapekue vitabu chooni huwezi pata hata C kwa staili hii.
Tumia akili vinginevyo uongozwe na chuki
 
Wenzenu wanaamshana wakapige Lambert nyie mnaamshana mkafakamie daku usiku kucha mnatafuna tuu kama mchwa mchana mko taaban.

Mmevimbiwa.

.....Lambert ni lile sanamu linaloning'inia kwenye panda ya mti !?? chongchung
 
Last edited by a moderator:
Wenzenu wanaamshana wakapige Lambert nyie mnaamshana mkafakamie daku usiku kucha mnatafuna tuu kama mchwa mchana mko taaban.

Mmevimbiwa.

Wewe unazungumza kwa jazba .mimi nakupa ukweli kabisa. Mwanafunzi aliesoma ni mkristo cousin zake ni waislam walizungumza kwa ukweli kabisa ya kuwa msimamizi wa mtihani alikua mjamzito na wanafunzi walikua huru ku share jawabu .
Wakienda chooni ambako kulikua na vitabu na kurudi kwa sharti la ku share.
Sio suala la daku au futari .
Hawa jamaa wa seminari wenye 1st div. Numekutana nao wengi chuoni na hawakuinesha kuwa walipata msingi sawasawa.
Nakupa mfano mwengine Almuntanzir school ni moja ya school safi yenye walimu wazuri mpaka kutoka Kenya na india. School yao ina library ya kujitosheleza
Ina laboratory ilo sheheni vifaa.
School ina program nzuri ya kuwassidia hata wale ambao ni wazito.
School hizi ni za kisasa kabisa kuliko shule yoyote ya kanisa.ina bajeti ya kutosha kabisa .
Lakini linapokuja suala la necta walikua wakifelishwa kila mwaka...uongozi wa shule walichukua jukumu la kubadilisha mitaala na kufanya mitihani ya Cambridge na IGCSE
leo watafunzi wa hapo wako juu na kuna wanafunzi kama 8 wamepata 100% scholarship kwenda vyuo mbali mbali canada ikiwemo Unuversity ya Alberta.
Wangengangania necta wangepewa zero.
Hii pia ipo Jaffery Academy kule arusha.
Wapo vijana wengine wakiislam walipitia ISM Moshi na huko wamepata scholarship kwa kuwa juu .
Ukweli utabaki necta majanga na seminary wanahujumu uwezo wa watoto kwa kuwachia kucopy.
 
Jaffery ni ya wahindi sio waislamu ipo njiro. na International School Moshi ni ya wazungu. hao waliobadilisha mtaala na kuweka wa Cambridge ni wale wanaotaka kusoma vyuo vya nje hata Arusha Modern walikua nayo.
 
mzee wa daku, watu wanatafuta sifa kwenye vitabu, nyie kuamshana kula daku... Nimecheka sana...

.............pombe na nyamafu wamemuachia nani !??............watu wanaamshana kuitafuta 'lailatul kadrih' ! na si daku .:hail:
'Na kipofu na mwenye kuona hawalingani, na walio amini na watendao mema hawalingani na muovu. Ni machache mnayoyakumbuka.
Qur'an:40:58
 
Jaffery ni ya wahindi sio waislamu ipo njiro. na International School Moshi ni ya wazungu. hao waliobadilisha mtaala na kuweka wa Cambridge ni wale wanaotaka kusoma vyuo vya nje hata Arusha Modern walikua nayo.

....kwani wahindi hawawezi kuwa Waislaam !??...! au hutaki kila kilichokizuri kuhusishwa na Waislaam?
 
mzee wa daku, watu wanatafuta sifa kwenye vitabu, nyie kuamshana kula daku... Nimecheka sana...

kipi kimekuchekesha sasa, kula daku au ni nini? kula daku ndio utaratibu kwa yule anayefunga, hii ni kwa mujibu wa hii dini, na yote haya ni kujiandaa na maisha ya duniani na baada ya kufa, na hata hivyo kuna ibada nyingi huwa zinafanyika usiku hivyo tunaweza kuhamshana ili kufanya hizo ibada, Ila kama wewe unaliona hilo ni lakipuuzi endelea kusoma, na vitabu vyote umalize lakini bila kumkumbuka mungu muumba mbingu na ardhi utakuwa mwenye hasara kubwa kwenye maisha yako baada ya kufa, natumaini umeelewa, kwasababu naamimni utakuwa muelewa.
 
Mkuu huo ni ukweli mtupu.
I dont trust these schools tangu nisikie kutoka kwa student aliesoma shule nyengine kama hio ya milleniam ambayo ilikua ya kwanza Tz.
Waliwekewa vitabu chooni kwenda kucopy !!!!!
Naamini bado hayo yanaendelea

Stupidity at its fine road..
 

Fool kabisa...

Dunia nzima Catholic schools are best schools..

Nakuona mpumb.avu kabisa..Wajisifia eti Cambrige na blah blah blah....Ukasahau hizo unazozishabikia ni mitaala ya Kanisa Uingereza na Ulaya yote...

Kanisa la Tanzania linakuumza mkaamua kuhamia Kanisa la Ulaya na Uingereza ehhh...Na badooo.....

Ningekuona wa maana kama ungejivunia hao wanafunzi wa kiislamu wanapata Schilarship za Iran, Iraq, Afgjanstan, Saudia na nchi za Kiarabu..

Ila kwa kuwa akili yako ina matope sana ukasahau kuwa bado unashabikia Mfumo Kristo unaotawala dunia....Nani mjinga hapa!!!!

Unalalamika lakini bado unaupenda Mfumo Kristo.....

Fool
 
Go Catholic Church..

Hapo St. Joseph pia wapo Waislam Kibao na wamefaulu vizuri..
 
askofu anafurahia mafisadi wa baadae maana waislam wote wamefeli na serikali haiajiri mtu aliyefeli ndo maana mnaona sekta zote wamejaa wao na ufisadi unavyolitafuna taifa
 

Achana na story za kwenye mihadhara ndugu yangu acha ukweli ujjisimamie ingekuwa kweli NECTA wanawafelisha watoto wa kiislam Tanzania wasingekuwapo wasomi wa kiislam lakin mbona kuna waislam tumesoma nao secondary za serikali na vyuo wako vizuri na kwa sasa wana position nzuri serikalini hao NECTA haikuwaona?
Shule ya Almuntazir waliamua hivyo kutokana na mfumo mbovu wa elimu yetu na si wanafunzi kufelishwa usiwe muongo kama hujafunga.
BInafsi mdogo wangu mkristo alisomea hiyo shule O level alifaulu vizuri kwa sasa yupo chuo.
Hayo madai yako wakiyasikia hata wao watakushangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…