Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
kwa vikao vya maaskofu wa kawaida haina shida ataingia kwa sababu nayy pia ni Askofu mwandamizi.Cardinal Rugambwa ataingia kwa vikao vyote vya Maaskofu,viwe vile vya kawaida vinavyojumisha Ma askofu wote au hata vya ma Arch Bishops.
ukakasi upo kwa vikao vya maaskofu wakuu hao umeita arch bishops. yy bado sio Askofu bishops. sasa akiingia atakuwa nan kwenye hicho kikao? ni mjumbe, mjumbe mwalikwa, mtazamaji, msikilizaji? na je km kuna maamuzi ya kufanyika inakuwaje nayy atahusika kufanya maamuz kwenye kikao cha maaskofu wakuu?