Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Ujinga mtupu, kwahyo hapa ndo umeongea point mwenyw?Akioa anakuwa na wazazi wanne wanamtegemea tofauti asipooa anakuwa na wazazi wawili tu. Halafu wazazi wake waliomzaa wanaweza kutibiwa na Kanisa maana wamemtoa sadaka mtoto wao kwa ajili ya Kanisa. Ila akishaoa mambo yanakuwa mengi, ndio maana makanisa ambayo wachungaji wanaoa hawana taasisi nyingi eg shule ,vyuo, hospital na zinazoendeshwa kwa weledi kama Katoliki. Mfano mzuri shule za masista zinafanya vizuri kwa sababu masista hawana familia wanaziangalia hizo shule 24/7.
Tatizo ni Wito.Sio kwa ubaya,
Mtu unakataa kuoa kisa kumtumikia Mungu kweli?Hatya vipi nyie ambao hamjaoana.Je,wazazi wenu wasingeoana mgekuja kumtumikia huyo Mungu asiyetaka muoe.
Haya na wale masister mnazijua behind on the scene’s zao?
Je,Mungu yupo teyari kudanganywa kama ninyi navyofanya(kuzini)?
Kwa sababu binafsi hakuna mwanamume anayeweza kuishi siku 365 bila kulomba,uongo.
Mbona kama huelewi ? Kuna masharti yamewekwa sio lazima kama hauwezi basi , kama hao wamejitoa basi ni maamuzi yao .Sio kwa ubaya,
Mtu unakataa kuoa kisa kumtumikia Mungu kweli?Hatya vipi nyie ambao hamjaoana.Je,wazazi wenu wasingeoana mgekuja kumtumikia huyo Mungu asiyetaka muoe.
Haya na wale masister mnazijua behind on the scene’s zao?
Je,Mungu yupo teyari kudanganywa kama ninyi navyofanya(kuzini)?
Kwa sababu binafsi hakuna mwanamume anayeartweza kuishi siku 365 bila kulomba,uongo.
Ukimtumikia Mungu ndiyo imekatazwa usioe?, unaweza weka andiko la hilo katazo mkuu?, mwili ulio timamu lazima uwe na matamanio, Shahawa zinazalishwa kila leo zinatumika wapi?, au masista wapo kwa kazi hiyo? ndiyo maana wanapata maskandali kuwala vijana wanaofanya kazi huko Makanisani aisee.
Wasipoelewa na hapa watakuwa na lao tu.Hujamwelew askofu, aliposema upadri ni wito anamaanisha kabla ya mtu kuweka nadhiri ya upadri alijua kabisa akiwa padri hataruhusiwa kuoa.
Anakuwa ana ndugu wachache wa kuwahudumia ambao kwa connection ambazo mapadri wanazo anaweza kuwasaidia wakapata kazi sehemu nzuri za kuwaingizia kipato wakaacha kumtegemea.Kwahiyo asipooa hata kaka na dada zake wa tumbo undugu unakatika?
Walio kwenye ndoa wanachit sana hilo mbona linajulikana.Kweli kabisa mkuu,padre anaruhusiwa pia kuacha upadre aende kuoa tena ndoa ya kanisani Wala Haina shida kabisa,iwapo atashindwa kutunza nadhiri alizoweka,na hii habar ya kuchit watu wanachit tu hata waliokwenye ndoa
Mtu aliyeingia upadre halafu baadaye aanze kusumbua na kutaka kuoa huyo hakuwa nae wito Aliingia huko ili afanye escapism tu.Aliyatoroka maisha ambayo yamemtangiza kwa mbele na tumejua uhalisia wake.Upadre siyo escapism ya maisha ya mtaani.Hujamwelew askofu, aliposema upadri ni wito anamaanisha kabla ya mtu kuweka nadhiri ya upadri alijua kabisa akiwa padri hataruhusiwa kuoa.
Iweje wakishapata daraja la upadri ndio waone umuhimu wa kuoa wakati hakuna mtu aliyewashikia fimbo kuwa mapadri.
Hapo wanaonyesha walitafuta ajira badala ya kumtumikia Mungu.
Isitoshe Kanisa bado limetoa uhuru hata ikitokea Padre anataka kuoa, anaruhusiwa kuachana na Upadre, na kuingia maisha ya ndoa.Hujamwelew askofu, aliposema upadri ni wito anamaanisha kabla ya mtu kuweka nadhiri ya upadri alijua kabisa akiwa padri hataruhusiwa kuoa.
Iweje wakishapata daraja la upadri ndio waone umuhimu wa kuoa wakati hakuna mtu aliyewashikia fimbo kuwa mapadri.
Hapo wanaonyesha walitafuta ajira badala ya kumtumikia Mungu.
Askofu yuko sahihi,Wakuu nyie mnaionaje hii?
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa`ichi amesema upadre ni wito, akieleza kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakimuuliza kwa nini mapadre wa Kanisa Katoliki hawaruhusiwi kuoa.
Akizungumzia suala hilo, amesema mara kwa mara amekuwa akipokea watu ofisini kwake wanaotaka kujua sababu za mapadre kutooa, huku akiwataka kutafakari maana ya wito wa upadre. “Mara chache wanakuja watu ofisini kwangu wananiuliza kwa nini unawakataza mapadre wasioe. Nyie mapadre mpo hapa, nani aliyewakataza msioe? Kuwa padre siyo balaa au nongwa, upadre ni wito,” amesema.
Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu wito wa upadre na utaratibu wa Kanisa Katoliki kuhusu useja wa mapadre.
Lakini ukiifikiria hii kauli haimaanishi kuwa mapadre wanatakiwa kuoa, kwasababu upadre ni wito basi sadaka yao ni kuji commit wasioe. Maana askofu amesisitiza kuwa kila wito una sadaka yake, kwahivyo pengine wao kutooa ndio sadaka ya wito wao. Au nyie mnasemaje wenzangu?
Hebu wenye ujuzi kuhusu hili mtueleweshe hapa aisee.
View attachment 3696701
Inshu ni kuoa na kuwa na familia sio kulomba jaribu kuelewa usijitoe akili.hawaoi lakini wanamademu wengi tu.kuna mmoja alikuwa anaenda jioni kumchukua demuwake nagari analala nae hadi asubuhi anamtoa
Kwa hio kuzini kwao sio tatizo?Inshu ni kuoa na kuwa na familia sio kulomba jaribu kuelewa usijitoe akili.
Beehive DOCTRINES!Ukioa wewe inatosha,a married man is a weak man,kanisa linaelewa hiyo dhana.
Tutolee upuuzi wako.
Tuseme wana nyumba ndogo mtaani!Wakuu nyie mnaionaje hii?
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa`ichi amesema upadre ni wito, akieleza kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakimuuliza kwa nini mapadre wa Kanisa Katoliki hawaruhusiwi kuoa.
Akizungumzia suala hilo, amesema mara kwa mara amekuwa akipokea watu ofisini kwake wanaotaka kujua sababu za mapadre kutooa, huku akiwataka kutafakari maana ya wito wa upadre. “Mara chache wanakuja watu ofisini kwangu wananiuliza kwa nini unawakataza mapadre wasioe. Nyie mapadre mpo hapa, nani aliyewakataza msioe? Kuwa padre siyo balaa au nongwa, upadre ni wito,” amesema.
Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu wito wa upadre na utaratibu wa Kanisa Katoliki kuhusu useja wa mapadre.
Lakini ukiifikiria hii kauli haimaanishi kuwa mapadre wanatakiwa kuoa, kwasababu upadre ni wito basi sadaka yao ni kuji commit wasioe. Maana askofu amesisitiza kuwa kila wito una sadaka yake, kwahivyo pengine wao kutooa ndio sadaka ya wito wao. Au nyie mnasemaje wenzangu?
Hebu wenye ujuzi kuhusu hili mtueleweshe hapa aisee.
View attachment 3696701
... If being human is a scam, to that church, then they should serve aliens!Ndoa ni scam, Kanisa Katoliki lipo mbele ya muda