LGE2024 Askofu Ruwa'ichi: Hatuwezi kukaa kimya wakati tunapitia vipindi vigumu, ni jukumu letu kutoa matamko

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦‍♂️🤦‍♂️

====

Ni kweli kama maaskofu wa tanzania tumetoa matamko mengi, na hilo siyo jambo ambalo tunalifanya kwa kukurupuka, ni jambo ambalo tunalitambua kama jukumu la kinabii la baraza letu.

Endapo baraza letu litakaa kimya wakati tunapitia vipindi vigumu nchi yetu itaenda pabaya. Tunashukuru kwamba tunapotoa tamko, raia wa nchi hii hata ambao siyo wakatoliki wanashukuru na kuthamini.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Sasa kama yanafanyiwa kazi au lah ni shauri ya wale wanaohusika, ni jukumu lao kuwa wasikivu, kujipanga na kufanya mambo inavyopasa, wasipofanya hivyo raia wanayo haki na fursa ya kuwawajibisha

Askofu Rwaichi akijibu swali la mwandishi alilouliza juu ya matamko mengi wanayotoa na kama yanafanyiwa kazi na kuwa na faida yoyote
 
Wakuu,

Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦‍♂️🤦‍♂️

====
Ni kweli kama maaskofu wa tanzania tumetoa matamko mengi, na hilo siyo jambo ambalo tunalifanya kwa kukurupuka, ni jambo ambalo tunalitambua kama jukumu la kinabii la baraza letu.

Endapo baraza letu litakaa kimya wakati tunapitia vipindi vigumu nchi yetu itaenda pabaya. Tunashukuru kwamba tunapotoa tamko, raia wa nchi hii hata ambao siyo wakatoliki wanashukuru na kuthamini.

Sasa kama yanafanyiwa kazi au lah ni shauri ya wale wanaohusika, ni jukumu lao kuwa wasikivu, kujipanga na kufanya mambo inavyopasa, wasipofanya hivyo raia wanayo haki na fursa ya kuwawajibisha

Askofu Rwaichi akijibu swali la mwandishi alilouliza juu ya matamko mengi wanayotoa na kama yanafanyiwa kazi na kuwa na faida yoyote
Kilichokoea ni marudio yaleyale, wahusika hawana aibu tena. Kama wananchi hawatosimama kwenye hili watarajie mambo ya ajabu zaidi
 
Wananchi wanadhulumiwa sanaaaa na ccm,dola n.k.Watu wapo kimya.
Ila Mungu yupo.
Watu wamekata tamaa,hawashiriki chaguzi na hawataki hata kuzisikia.
 
Wakuu,

Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦‍♂️🤦‍♂️

====

Ni kweli kama maaskofu wa tanzania tumetoa matamko mengi, na hilo siyo jambo ambalo tunalifanya kwa kukurupuka, ni jambo ambalo tunalitambua kama jukumu la kinabii la baraza letu.

Endapo baraza letu litakaa kimya wakati tunapitia vipindi vigumu nchi yetu itaenda pabaya. Tunashukuru kwamba tunapotoa tamko, raia wa nchi hii hata ambao siyo wakatoliki wanashukuru na kuthamini.

Sasa kama yanafanyiwa kazi au lah ni shauri ya wale wanaohusika, ni jukumu lao kuwa wasikivu, kujipanga na kufanya mambo inavyopasa, wasipofanya hivyo raia wanayo haki na fursa ya kuwawajibisha

Askofu Rwaichi akijibu swali la mwandishi alilouliza juu ya matamko mengi wanayotoa na kama yanafanyiwa kazi na kuwa na faida yoyote
Ni kawaida yenu akiwa sio wa kutoka kwenu
 
Askofu kamaliza kila kitu, tukutane ndani ya siku 87 Mungu yupo kazini ,msilaum Mungu atafanya yalio ndani ya uwezo wake, Mungu wangu nakupenda
 
Kilichokoea ni marudio yaleyale, wahusika hawana aibu tena. Kama wananchi hawatosimama kwenye hili watarajie mambo ya ajabu zaidi
Hahaha"wananchi" vs "wenyenchi" nani zaidi.
CCM wanatambua hawana dhamana ya wananchi, uchaguzi huu walikuwa wana test kuona 2025 watatonoa ozone au la.

Wamesha gundua, hawapemdwi hivyo wanalazimika kutumia udanganyigu na nguvu kuendelea kuwepo madarakani, hawana namna.
 
Kuna watu wanashangaa Kanisa Katoliki kutoa matamko. Mimi naona ni muendelezo wa utamaduni wa kanisa hili kufanya hivyo.

Wakati wa utawala wa Mwinyi, nadhani kila wiki au mwezi walikuwa wanatoa tamko. Walifanya hivyo mara nyingi sana hata wakati wa kikwete kiasi cha kukaribia kuvunja rekodi ya guiness.

Hata kwa Lowasa, kanisa lilitoa matamko mengi kiasi kwamba walisahau hata kunukuu biblia kanisani.

Labda wanataka kujifichia huko lakini ndani ya mioyo yao wanawaza msalaba ukae pale juu pa nchi
 
Wakuu,

Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦‍♂️🤦‍♂️

====

Ni kweli kama maaskofu wa tanzania tumetoa matamko mengi, na hilo siyo jambo ambalo tunalifanya kwa kukurupuka, ni jambo ambalo tunalitambua kama jukumu la kinabii la baraza letu.

Endapo baraza letu litakaa kimya wakati tunapitia vipindi vigumu nchi yetu itaenda pabaya. Tunashukuru kwamba tunapotoa tamko, raia wa nchi hii hata ambao siyo wakatoliki wanashukuru na kuthamini.

Sasa kama yanafanyiwa kazi au lah ni shauri ya wale wanaohusika, ni jukumu lao kuwa wasikivu, kujipanga na kufanya mambo inavyopasa, wasipofanya hivyo raia wanayo haki na fursa ya kuwawajibisha

Askofu Rwaichi akijibu swali la mwandishi alilouliza juu ya matamko mengi wanayotoa na kama yanafanyiwa kazi na kuwa na faida yoyote
Screenshot_2024-11-29-07-51-54-982_com.android.chrome~2.jpg
 
Kuna watu wanashangaa Kanisa Katoliki kutoa matamko. Mimi naona ni muendelezo wa utamaduni wa kanisa hili kufanya hivyo.

Wakati wa utawala wa Mwinyi, nadhani kila wiki au mwezi walikuwa wanatoa tamko. Walifanya hivyo mara nyingi sana hata wakati wa kikwete kiasi cha kukaribia kuvunja rekodi ya guiness.

Hata kwa Lowasa, kanisa lilitoa matamko mengi kiasi kwamba walisahau hata kunukuu biblia kanisani.

Labda wanataka kujifichia huko lakini ndani ya mioyo yao wanawaza msalaba ukae pale juu pa nchi
Ni kweli ila naomba unikumbushe kipindi cha JPM walitoa kauli gani? Au kipindi chs mkapa.
 
Baba Askofu waambie hao ukweli maana wanajifanya mshipa wa aibu ushawakatika.
 
Ni kweli ila naomba unikumbushe kipindi cha JPM walitoa kauli gani? Au kipindi chs mkapa.
Hawakutoa kauli hata moja japo JPM aliua sana, na Mkapa akaua Mwembechai na akaua mashirika yote ya umma. Hata Lowassa Mlutheri, wakatoliki walimpinga kila mahali. Sasa wako na Lissu mkatoliki mwenzao

Nyuma ya kauli zao ni chuki za kidini
 
Ni kweli ila naomba unikumbushe kipindi cha JPM walitoa kauli gani? Au kipindi chs mkapa.
WEwe ni mgeni wa nchi hii. Tamko wakati wa Magufuli, nadhani lilikuwa kali kuliko yote, lilizungumzia kuoigwa risasi kwa Tundu Lisu, watu kutekwa, n.k. Ulikuwa ni waraka wa kwaresma.
 
Back
Top Bottom