PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua Hesabu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

​
Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe.

Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba 2025, Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu, wamesema kuna vifo 518 nchi nzima wamesema vitoka mikoa ya Dar 182, Mwanza 90, Mbeya 80. Arusha 53, Jumla 405 hii ni tofauti na 518 kwa 113 hili pengo ni kubwa sana.

Ina maana namba ilitungwa tu kisha wakasema kuhusu maiti ni 518, maiti zilizotambulika ni 485, ambazo hazikutambulika ni 9. Jumla ni 494 kuna tofauti ya 518 - 494 = 24 ina maana maiti 24 zimepotea ni pengo kwa ripoti, hii ni ripoti wamekaa nayo kwa siku 153 inaoka ikiwa na makosa makubwa hivi hii ni ishara wametengeneza ripoti tena bila kuwa na umakini wowote.
 
Men Lie, Women Lie, Numbers don't Lie

Hili Taifa ili uweze kuishi kwa raha unapaswa Kujua ya kuzingatia, ili uachane na yasiyokuhusu.

Otherwise, kufuatilia issue zinaoendelea kwenye hii Nchi ni kama kumenya kitunguu, kila ganda unalofunua litakutoa machozi.
 
Mapishi tata kutoka kwa mpishi Chande, mashuhuri toka mtoto,
Eti askofu mbishi wa mboko, halali anawaza mboko,
Tume huru iundwe, ajuza azima kaa taa zeeeee!
 
Changamoto kubwa kwenye taifa nyakati hizi ni waiinga na hata wapumbavu kupewa nafasi kwenye taasisi za serikali na uma kwa ujumla.

Chama tawala kimeondoka kwenye asili yake ya kutumia vijana wenye akili nzuri na matokeo yake ndiyo haya ambayo yanawadhalilisha wazee na viongozi kwa ujumla.

Yajayo ni hatari zaidi kwani kama jamii haitajirekebisha, ujinga unaenda kushika hatamu moja kwa moja hadi utakapoondolewa kwa gharama kubwa ya mapinduzi ya kutumia nguvu.
 
1777527409712.jpg
 
Men Lie, Women Lie, Numbers don't Lie

Hili Taifa ili uweze kuishi kwa raha unapaswa Kujua ya kuzingatia, ili uachane na yasiyokuhusu.

Otherwise, kufuatilia issue zinaoendelea kwenye hii Nchi ni kama kumenya kitunguu, kila ganda unalofunua litakutoa machozi.
Kwanza unaweza kuwa mwehu , Taifa linaongozwa na watu vichaa
 
Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe.

Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba 2025, Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu, wamesema kuna vifo 518 nchi nzima wamesema vitoka mikoa ya Dar 182, Mwanza 90, Mbeya 80. Arusha 53, Jumla 405 hii ni tofauti na 518 kwa 113 hili pengo ni kubwa sana.

Ina maana namba ilitungwa tu kisha wakasema kuhusu maiti ni 518, maiti zilizotambulika ni 485, ambazo hazikutambulika ni 9. Jumla ni 494 kuna tofauti ya 518 - 494 = 24 ina maana maiti 24 zimepotea ni pengo kwa ripoti, hii ni ripoti wamekaa nayo kwa siku 153 inaoka ikiwa na makosa makubwa hivi hii ni ishara wametengeneza ripoti tena bila kuwa na umakini wowote.
Chande kama Chande aka Chande & the gang!Ameyataka mwenyewe kwa mahaba ya kumtetea dada yake.
 
Changamoto kubwa kwenye taifa nyakati hizi ni waiinga na hata wapumbavu kupewa nafasi kwenye taasisi za serikali na uma kwa ujumla.

Chama tawala kimeondoka kwenye asili yake ya kutumia vijana wenye akili nzuri na matokeo yake ndiyo haya ambayo yanawadhalilisha wazee na viongozi kwa ujumla.

Yajayo ni hatari zaidi kwani kama jamii haitajirekebisha, ujinga unaenda kushika hatamu moja kwa moja hadi utakapoondolewa kwa gharama kubwa ya mapinduzi ya kutumia nguvu.
Lini CCM ilitumia watu wenye akili? (VIJANA WENYE AKILI?)😁
 
Nyakati za kudai Uhuru na miaka kadhaa baadaye.

Huu upuuzi wa kujitoa ufahamu na kuutumia kama ngazi umeanza baada ya uwepo wa vyama vingi.

Mbaya zaidi hao wanaojitoa ufahamu ndiyo hupata madaraka kwa sababu ya msukumo (momentum) iliyopatikana huko nyuma.

Chama chenye fursa na uzito wa kihistoria ndicho kinachotakiwa kuwa chemchem ya vijana wenye akili nzuri.
 
Hutuba ya ripot zio jambo la kushangaza sana mshangao uko hapa 182+90+80+53=518
Niacheni nachabganyikiwa
 
Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe.

Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba 2025, Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu, wamesema kuna vifo 518 nchi nzima wamesema vitoka mikoa ya Dar 182, Mwanza 90, Mbeya 80. Arusha 53, Jumla 405 hii ni tofauti na 518 kwa 113 hili pengo ni kubwa sana.

Ina maana namba ilitungwa tu kisha wakasema kuhusu maiti ni 518, maiti zilizotambulika ni 485, ambazo hazikutambulika ni 9. Jumla ni 494 kuna tofauti ya 518 - 494 = 24 ina maana maiti 24 zimepotea ni pengo kwa ripoti, hii ni ripoti wamekaa nayo kwa siku 153 inaoka ikiwa na makosa makubwa hivi hii ni ishara wametengeneza ripoti tena bila kuwa na umakini wowote.
Sheikh Kuendesha kasema wapinga lipoti (report) ni wachochezi.
 
Back
Top Bottom