TEC chemsheni mchemsho wenu
Kwanza unaweza kuwa mwehu , Taifa linaongozwa na watu vichaaMen Lie, Women Lie, Numbers don't Lie
Hili Taifa ili uweze kuishi kwa raha unapaswa Kujua ya kuzingatia, ili uachane na yasiyokuhusu.
Otherwise, kufuatilia issue zinaoendelea kwenye hii Nchi ni kama kumenya kitunguu, kila ganda unalofunua litakutoa machozi.
Kama ni hivyo hata hesabu za kura si halisi
Chande kama Chande aka Chande & the gang!Ameyataka mwenyewe kwa mahaba ya kumtetea dada yake.Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe.
Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba 2025, Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu, wamesema kuna vifo 518 nchi nzima wamesema vitoka mikoa ya Dar 182, Mwanza 90, Mbeya 80. Arusha 53, Jumla 405 hii ni tofauti na 518 kwa 113 hili pengo ni kubwa sana.
Ina maana namba ilitungwa tu kisha wakasema kuhusu maiti ni 518, maiti zilizotambulika ni 485, ambazo hazikutambulika ni 9. Jumla ni 494 kuna tofauti ya 518 - 494 = 24 ina maana maiti 24 zimepotea ni pengo kwa ripoti, hii ni ripoti wamekaa nayo kwa siku 153 inaoka ikiwa na makosa makubwa hivi hii ni ishara wametengeneza ripoti tena bila kuwa na umakini wowote.
Lini CCM ilitumia watu wenye akili? (VIJANA WENYE AKILI?)πChangamoto kubwa kwenye taifa nyakati hizi ni waiinga na hata wapumbavu kupewa nafasi kwenye taasisi za serikali na uma kwa ujumla.
Chama tawala kimeondoka kwenye asili yake ya kutumia vijana wenye akili nzuri na matokeo yake ndiyo haya ambayo yanawadhalilisha wazee na viongozi kwa ujumla.
Yajayo ni hatari zaidi kwani kama jamii haitajirekebisha, ujinga unaenda kushika hatamu moja kwa moja hadi utakapoondolewa kwa gharama kubwa ya mapinduzi ya kutumia nguvu.
Nyakati za kudai Uhuru na miaka kadhaa baadaye.Lini CCM ilitumia watu wenye akili? (VIJANA WENYE AKILI?)π
Sheikh Kuendesha kasema wapinga lipoti (report) ni wachochezi.Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe.