PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua Hesabu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sheikh Kuendesha kasema wapinga lipoti (report) ni wachochezi.
 
Hali ya siasa na usalama yanakuhusu sana tu maana mustakabali wa nchi ni muhimu kwenye ustawi wako.
 
Mwigulu kutwa anakwambia "Muwe na imani na serikali"

Serikali yenyewe ndiyo hiyo inapongeza takwimu za kupika na kutishia wanaohoji
 
Mungu amewaonyesha sio wa kumchezea wanapata aibu wakati wamelitumikia Taifa kwa miaka yao yote bora angegoma tu kufanya hiyo kazi..
 
RIPOTI YA CHANDE imetumia pesa nyingi na muda mrefu, inakuaje ije na uongo mbele ya watanzania Mil.60? tena kwa jambo zito hivi?
Wanapaswa kuchukuliwa HATUA KALI.
 
Ile tume watu wake wote walisoma Art .
Hesabu kwao ni kama njia iyendayo umautini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…