BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kuna taarifa mbaya kuwa Askofu Severine Niwemugizi wa Rulenge-Ngara amepata ajali ya gari maeneo ya Songambele, Chato
==
Hakuna vifo wala Majeruhi. Walikuwa wakitokea Bugando Mwanza kuelekea Ngara Kagera. Wana Msiba wa Padri aliyepoteza Maisha akiwa anatibiwa Hospitali ya Bugando, walikuwa wakielekea Ngara kuzika.