Askofu Severine Niwemugizi apata ajali maeneo ya Songambele wilayani Chato

Sio kila jambo la kuleta upuuzi wako wa kiccm..

Hapo mtu kapata ajali upumba.v wako wa mgaya unataka kuleta kwenye maumivu ya mtu?
Umeshafura!

Ngurumo hana uhakika unaambiwa tusubiri taarifa unajifanya wewe ndio inside moja na sifuri!
 
Haikosoi serikali huyu?

Nipeni jibu ndipo nichangie uzi.

Haikosoi serikali bali hutoa maoni ya kuishauri serikali!! Msianze kuleta conspiracy theories zenu kuwa pengine kuna mkono wa mtu kwenye hiyo ajali; kwa chombo kinachotumia moto hali kama hii hutokea!!
 
Sio kila jambo la kuleta upuuzi wako wa kiccm..

Hapo mtu kapata ajali upumba.v wako wa mgaya unataka kuleta kwenye maumivu ya mtu?
Huyu jamaa sijui ni kwa nini ma-moderator wanamwacha anafanya upuuzi hapa JF. Siungi mkono censorship kwenye uandishi lakini anapotokea mtu mmoja ana-post upumbavu kila baada ya dakika tano ni bora awe anadhibitiwa. Huyu jamaa ni mtu wa mizaha kila thread.
 
Anaboa sijui nikukosa shughuli au vp?
 
Back
Top Bottom