Jiwe aliwahi kumnyang'anya Passport yake na kuamuru uraia wake uchunguzwe , kilichotokea sasa ni kwamba Baba Askofu Niwemugizi ndiye aliongoza misa ya Mazishi ya Jiwe.Haikosoi serikali huyu?
Nipeni jibu ndipo nichangie uzi.
jiwe aliwahi kumnyang'anya Passport yake na kuamuru uraia wake uchunguzwe , kilichotokea sasa ni kwamba Baba Askofu Niwemugizi ndiye aliongoza misa ya Mazishi ya Jiwe .
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Sio kila jambo la kuleta upuuzi wako wa kiccm..Ngoja mzee Mgaya yuko Chato!
Atatujuza kama kuna taarifa hizo.
Ewe umejiandaaje kuhamia mkoa wa chattle au ww sio wa ngara!?Aisee
Ongeza sauti mzee unasemaje?Maaskofu huwa wanatoka wazima hata ajali iwe mbaya vipi.