Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kila ubaya utalipwaAfrica bara la giza na uonevu hasa na wenye mamlaka
Kabisa tenaya kaizari apewe kaizari na ya Mungu apewe Mungu.
Utalipwa et,yani tena utalipwa hapahapa DunianiKila ubaya utalipwa
Je mungu akitaka ya kaizari?ya kaizari apewe kaizari na ya Mungu apewe Mungu.
Wewe una ya kiwango gani? Yaani unashindwa hata kuficha huo ujinga wako kweliOperation ukuta walimuita wakamkataza, kwanini Operation hii wakamuacha? Wameyataka wenyewe
Askofu Shoo ni mmoja wa Viongozi wa Kidini wapenda HAKI na huwa hamungunyi maneno kama baadhi ya Viongozi wa kidini walio wanafiki!!View attachment 1906402
Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya utu maana hayana mwisho mwema .
DR Shoo ametoboa siri kwamba yeye na maaskofu wenzake ndio waliomuita na ndio waliomshauri Mbowe kusitisha operesheni UKUTA ili kuepusha mauaji ya Raia wasio na hatia na akatii na kusitisha maandamano yale , Bila kumung'unya maneno Askofu Shoo amesikitishwa sana na kitendo cha Mbowe kusingiziwa Ugaidi , na Amemuomba Dr Lilian ambaye ni Mke wa Mbowe kuwa na uvumilivu .
wekeni ushahidi basiUgaidi siyo tangazo kwamba kila mtu ajue
HakikaAskofu Shoo ni mmoja wa Viongozi wa Kidini wapenda HAKI na huwa hamungunyi maneno kama baadhi ya Viongozi wa kidini walio wanafiki!!
Kesi si iko mahakamani, watamalizana huko hukowekeni ushahidi basi