Askofu Shoo atoa neno kuhusu kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

View attachment 1906402

Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya utu maana hayana mwisho mwema .

DR Shoo ametoboa siri kwamba yeye na maaskofu wenzake ndio waliomuita na ndio waliomshauri Mbowe kusitisha operesheni UKUTA ili kuepusha mauaji ya Raia wasio na hatia na akatii na kusitisha maandamano yale , Bila kumung'unya maneno Askofu Shoo amesikitishwa sana na kitendo cha Mbowe kusingiziwa Ugaidi , na Amemuomba Dr Lilian ambaye ni Mke wa Mbowe kuwa na uvumilivu .
Tatizo la Shoo hajawahi kuwa neutral. KIla wakati CHADEMA au kanda ya kaskazini iko sahihi. Hii inamuondolea uhalali wa kusikilizwa.
 
Umemsikia lakini ? kuna video nimekuwekea
 
View attachment 1906402

Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya utu maana hayana mwisho mwema .

DR Shoo ametoboa siri kwamba yeye na maaskofu wenzake ndio waliomuita na ndio waliomshauri Mbowe kusitisha operesheni UKUTA ili kuepusha mauaji ya Raia wasio na hatia na akatii na kusitisha maandamano yale , Bila kumung'unya maneno Askofu Shoo amesikitishwa sana na kitendo cha Mbowe kusingiziwa Ugaidi , na Amemuomba Dr Lilian ambaye ni Mke wa Mbowe kuwa na uvumilivu

View attachment 1906538
Askofu Shoo kageuka kuwa Jaji siku hizi?
 
Raia kuandamana ni haki yao kisheria, na Mbowe kuwataka waandamane kwenye hiyo operation UKUTA alikuwa akitimiza/tekeleza haki yake kisheria.

Lakini Askofu kwa kujua unyama wa polisi wetu, akaona bora amtake Mbowe aache kuwahimiza raia waandamane ili kuwaepushe na majanga ambayo yangeweza kumkuta yeye pamoja na raia.

Hapa najifunza kitu, hii nchi sasa haiongozwi tena kwa kufuata sheria, wala na chama cha siasa, inaongozwa na vyombo vya dola, hawa jamaa wanalitumia jeshi la polisi kwa manufaa yao kisiasa.

Hali hii ikiachwa iendelee itasababisha huko mbele ya safari raia wawe sugu nao watafute njia ya kujilinda na madhila ya polisi, tukifika hapo CCM watavuna walichopanda.
UKUTA ilisitishwa na kina Shoo, je Lisu alipoitisha maandamano watu wakamgomea yalisitishwa na nani?
[emoji23] [emoji23]
 
Ugaidi siyo tangazo kwamba kila mtu ajue ni siri ya gaidi na gaidi tu!

Wakati mwingine kwenye familia unaweza kustukia mapolisi yamekuja kumshika mwanao kwa tuhuma za ujambazi bila ya mzazi kufahamu iwapo mwanaye alikuwa jambazi, sembuse na mbunge usiye kaaa naye kabisa
Comment yako imenifikirisha sana na hawa wazazi huwa wanaruka futi 100 kiww mwanaye huhusiki mpaka atakpoletewa vithibitisho vya wazi wazi
 
View attachment 1906402

Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya utu maana hayana mwisho mwema .

DR Shoo ametoboa siri kwamba yeye na maaskofu wenzake ndio waliomuita na ndio waliomshauri Mbowe kusitisha operesheni UKUTA ili kuepusha mauaji ya Raia wasio na hatia na akatii na kusitisha maandamano yale , Bila kumung'unya maneno Askofu Shoo amesikitishwa sana na kitendo cha Mbowe kusingiziwa Ugaidi , na Amemuomba Dr Lilian ambaye ni Mke wa Mbowe kuwa na

View attachment 1906402

Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya utu maana hayana mwisho mwema .

DR Shoo ametoboa siri kwamba yeye na maaskofu wenzake ndio waliomuita na ndio waliomshauri Mbowe kusitisha operesheni UKUTA ili kuepusha mauaji ya Raia wasio na hatia na akatii na kusitisha maandamano yale , Bila kumung'unya maneno Askofu Shoo amesikitishwa sana na kitendo cha Mbowe kusingiziwa Ugaidi , na Amemuomba Dr Lilian ambaye ni Mke wa Mbowe kuwa na uvumilivu

View attachment 1906538
Tunafahamu ana conflict of interest. Tena kubwa.
 
Askofu Shoo ni mmoja wa Viongozi wa Kidini wapenda HAKI na huwa hamungunyi maneno kama baadhi ya Viongozi wa kidini walio wanafiki!!
Huyu ni walewale wanafiki wa Taifa. Hana lolote kwenye hiyo kanzu yake zaidi ya kuendesha uhuni na hao akina mbowe
 
UKUTA ilisitishwa na kina Shoo, je Lisu alipoitisha maandamano watu wakamgomea yalisitishwa na nani?
[emoji23] [emoji23]
Yaani!! We acha tu. Misifa na ujuaje tu. Angesema tu muziki ulibuma.
 
Shoo aende mahakamani akatoe ushahidi sasa siyo kilialia tu huko Same.
 
Back
Top Bottom