Askofu Shoo atoa neno kuhusu kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Tatizo la Shoo hajawahi kuwa neutral. KIla wakati CHADEMA au kanda ya kaskazini iko sahihi. Hii inamuondolea uhalali wa kusikilizwa.
 
Tatizo la Shoo hajawahi kuwa neutral. KIla wakati CHADEMA au kanda ya kaskazini iko sahihi. Hii inamuondolea uhalali wa kusikilizwa.
Umemsikia lakini ? kuna video nimekuwekea
 
Askofu Shoo kageuka kuwa Jaji siku hizi?
 
UKUTA ilisitishwa na kina Shoo, je Lisu alipoitisha maandamano watu wakamgomea yalisitishwa na nani?
[emoji23] [emoji23]
 
Comment yako imenifikirisha sana na hawa wazazi huwa wanaruka futi 100 kiww mwanaye huhusiki mpaka atakpoletewa vithibitisho vya wazi wazi
 
Tunafahamu ana conflict of interest. Tena kubwa.
 
Askofu Shoo ni mmoja wa Viongozi wa Kidini wapenda HAKI na huwa hamungunyi maneno kama baadhi ya Viongozi wa kidini walio wanafiki!!
Huyu ni walewale wanafiki wa Taifa. Hana lolote kwenye hiyo kanzu yake zaidi ya kuendesha uhuni na hao akina mbowe
 
UKUTA ilisitishwa na kina Shoo, je Lisu alipoitisha maandamano watu wakamgomea yalisitishwa na nani?
[emoji23] [emoji23]
Yaani!! We acha tu. Misifa na ujuaje tu. Angesema tu muziki ulibuma.
 
Wala huyu Mama hataishia pazuri kwa mwendo huu.
 
Shoo aende mahakamani akatoe ushahidi sasa siyo kilialia tu huko Same.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…