Askofu Shoo atoa neno kuhusu kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Tatizo la Shoo hajawahi kuwa neutral. KIla wakati CHADEMA au kanda ya kaskazini iko sahihi. Hii inamuondolea uhalali wa kusikilizwa.
Hata wewe hujawahi kuwa neutral zaidi kuwa dodoki la ccm, bora hata Dr Askofu Shoo anaweza kupinga kwa hoja, wewe ndie hivyo tena tia maji.
 
huyu Mwamba "shoo" anajiamini sana.
 
Unazano shoo ataacha kumtetea Mbowe, Massawe na Mushi?
 
Tunaandika sana na tunajitahidi sana kutoa maoni yetu, bahati mbaya both sides of the Isle hutajaribu kuwa na synthesis analysis ya matukio kadri ya navyotokea na matokeo yake tunashindwa kuwa na critical path kwa all major events.

A major problem is our leaderships and the society we lead, we have allowed recklessly in how we handle and pursue our agendas forgeting that history places greater responsibility to a leader. We should never allow civil society members to direct or lead the opposition agendas (KIGOGO as a reference ), as you can now vividly see Chadema is harvesting what civil societies planted in it.

We all know civil society members can hardly win a seat even a councillors forget about the member of Parliament. I am a member of the same constituency as Mbowe, I am non descript but very sympathetic to him as person but not the party.

Politics is a war and the first casualty of war is truth.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna lolote !
 

Maneno mazito sana haya toka kwake Askofu Shoo:

1. Katika nchi kuna mambo tunatendeana ambayo kibinadamu yanaumiza, yanahuzunisha, yanasikitisha na hata yanatia aibu.
2. Mbowe hakuweza kuhudhuria msiba huu hata ule wa baba yake mdogo, kwa sababu ambazo tunaambiwa tukamwulize yeye. Mambo ambayo yanaumiza.
3. Sisi tunaofuatilia mambo haya kwa mbali si kuwa hatuoni, tunaona.
4. Mungu anasema wenye haki wakimwomba kwa kweli, yeye atasikia na atajibu.

5. Kwa watanzania tunaosema tunamwamini Mungu hebu twendeni kwenye magoti tukamwombe Mungu naye atajibu.

Yawafikie wahusika wote sisi tunapokwenda kwenye magoti yetu.

Eeh mola wetu, mapenzi yako na yakatimie.
 
Kongole Askofu. Tuna imani haki itatendeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…