Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
View: https://youtu.be/h3u0m2Yy1lQ
Godbless Lema huwa nana kawaida ya mdomo mdomo mwingi sana juu ya Kanisa la KKKT, hasa chini ya uongozi wa Askofu Malasusa.
Sasa mjomba wake Askofu Shoo amejitokeza hadharani kuunga mkono Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, ripoti yenye maudhui ya kuisafisha serikali ya Awamu ya 6 iliyofanya mauaji makubwa toka mauaji ya Maji Maji na wakoloni.
Hata vyombo vya UN vimeitilia mashaka Tume hiyo.
Sasa Godbless Lema yuko kimyaa utafikiri hajamsikia mjomba wake Askofu Shoo akiiisifu Ripoti yaJaji Chande yenye mapungufu makubwa.
Godbless Lema akumbushwe, unafiki si mzuri.