Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Tangu lini mtu aliye na historia ya wizi wa magari akawa na kumbukumbu objective?
View: https://youtu.be/h3u0m2Yy1lQ
Godbless Lema huwa nana kawaida ya mdomo mdomo mwingi sana juu ya Kanisa la KKKT, hasa chini ya uongozi wa Askofu Malasusa.
Sasa mjomba wake Askofu Shoo amejitokeza hadharani kuunga mkono Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, ripoti yenye maudhui ya kuisafisha serikali ya Awamu ya 6 iliyofanya mauaji makubwa toka mauaji ya Maji Maji na wakoloni.
Hata vyombo vya UN vimeitilia mashaka Tume hiyo.
Sasa Godbless Lema yuko kimyaa utafikiri hajamsikia mjomba wake Askofu Shoo akiiisifu Ripoti yaJaji Chande yenye mapungufu makubwa.
Godbless Lema akumbushwe, unafiki si mzuri.
Wanafiki kama Godbless Lema utawajua tu.Angekuwa Malasusa angemshambulia ila Shoo wametoka naye kijiji kimoja.
Tuliaminiwa enzi za giza kwamba ndugu zetu kwa upande wa imani wasomi sana. Lkn alhmudullillah, teknolojia imetupa jibu
View: https://youtu.be/h3u0m2Yy1lQ
Godbless Lema huwa nana kawaida ya mdomo mdomo mwingi sana juu ya Kanisa la KKKT, hasa chini ya uongozi wa Askofu Malasusa.
Sasa mjomba wake Askofu Shoo amejitokeza hadharani kuunga mkono Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, ripoti yenye maudhui ya kuisafisha serikali ya Awamu ya 6 iliyofanya mauaji makubwa toka mauaji ya Maji Maji na wakoloni.
Hata vyombo vya UN vimeitilia mashaka Tume hiyo.
Sasa Godbless Lema yuko kimyaa utafikiri hajamsikia mjomba wake Askofu Shoo akiiisifu Ripoti yaJaji Chande yenye mapungufu makubwa.
Godbless Lema akumbushwe, unafiki si mzuri.
View: https://youtu.be/h3u0m2Yy1lQ
Godbless Lema huwa nana kawaida ya mdomo mdomo mwingi sana juu ya Kanisa la KKKT, hasa chini ya uongozi wa Askofu Malasusa.
Sasa mjomba wake Askofu Shoo amejitokeza hadharani kuunga mkono Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, ripoti yenye maudhui ya kuisafisha serikali ya Awamu ya 6 iliyofanya mauaji makubwa toka mauaji ya Maji Maji na wakoloni.
Hata vyombo vya UN vimeitilia mashaka Tume hiyo.
Sasa Godbless Lema yuko kimyaa utafikiri hajamsikia mjomba wake Askofu Shoo akiiisifu Ripoti yaJaji Chande yenye mapungufu makubwa.
Godbless Lema akumbushwe, unafiki si mzuri.
Jidu La Mabambasi wewe ni mkongwe kwenye hili jukwaa. Don’t go this low. Siyo hadhi yako kabisa. Na wewe unajua.
View: https://youtu.be/h3u0m2Yy1lQ
Godbless Lema huwa nana kawaida ya mdomo mdomo mwingi sana juu ya Kanisa la KKKT, hasa chini ya uongozi wa Askofu Malasusa.
Sasa mjomba wake Askofu Shoo amejitokeza hadharani kuunga mkono Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, ripoti yenye maudhui ya kuisafisha serikali ya Awamu ya 6 iliyofanya mauaji makubwa toka mauaji ya Maji Maji na wakoloni.
Hata vyombo vya UN vimeitilia mashaka Tume hiyo.
Sasa Godbless Lema yuko kimyaa utafikiri hajamsikia mjomba wake Askofu Shoo akiiisifu Ripoti yaJaji Chande yenye mapungufu makubwa.
Godbless Lema akumbushwe, unafiki si mzuri.
Jidu La Mabambasi kaishakuwa mpuuzi mda mrefu tu humu JF sijui alipatwa na niniJidu La Mabambasi wewe ni mkongwe kwenye hili jukwaa. Don’t go this low. Siyo hadhi yako kabisa. Na wewe unajua.
Kuunga mkono Ripoti ambayo ni flawed is even lower!Jidu La Mabambasi wewe ni mkongwe kwenye hili jukwaa. Don’t go this low. Siyo hadhi yako kabisa. Na wewe unajua.
Vikaragosi vya kidini!Jidu La Mabambasi kaishakuwa mpuuzi mda mrefu tu humu JF sijui alipatwa na nini
Umeona sasa akili zako za siku hizi ?Vikaragosi vya kidini!
Compromised!!!View attachment 3586924
Mnakumbuka hii gari Askofu Shoo alipewa na nani?
Nadhani hukunielewa. Sidhani kama kuna mtu amekuwa critical kwa Shoo, Malasusa, na maaskofu wengine hapa Tz kama Lema. Katika hili la dini na Imani, Lema amenyooka. Jaribu kutafuta clips zake.Kuunga mkono Ripoti ambayo ni flawed is even lower!
Please take note!
Neno ataambiwa na waumini wake akina M5washamba
View: https://youtu.be/h3u0m2Yy1lQ
Godbless Lema huwa nana kawaida ya mdomo mdomo mwingi sana juu ya Kanisa la KKKT, hasa chini ya uongozi wa Askofu Malasusa.
Sasa mjomba wake Askofu Shoo amejitokeza hadharani kuunga mkono Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, ripoti yenye maudhui ya kuisafisha serikali ya Awamu ya 6 iliyofanya mauaji makubwa toka mauaji ya Maji Maji na wakoloni.
Hata vyombo vya UN vimeitilia mashaka Tume hiyo.
Sasa Godbless Lema yuko kimyaa utafikiri hajamsikia mjomba wake Askofu Shoo akiiisifu Ripoti yaJaji Chande yenye mapungufu makubwa.
Godbless Lema akumbushwe, unafiki si mzuri.
Nionyeshe clip aliyokuwa critical kwa Ak Shoo.Nadhani hukunielewa. Sidhani kama kuna mtu amekuwa critical kwa Shoo, Malasusa, na maaskofu wengine hapa Tz kama Lema. Katika hili la dini na Imani, Lema amenyooka. Jaribu kutafuta clips zake.