Askofu Shoo: Baadhi ya Sharika za KKKT Dayosisi ya Kaskazini Zinatumika Kisiasa

MTANZANIA620

Member
Joined
Jun 20, 2023
Posts
65
Reaction score
81
NA SAMWEL JOHN LEMA

Hivi karibuni Jimbo Kuu Katoliki jimbo la Nairobi lilikataa na kurejesha mchango wa fedha kutoka kwa Rais wa Taifa la Kenya Mhe William Samoei Ruto na Gavana Johnson Sakaja, likisema halitaki kutumika kisiasa.

Askofu Mkuu Philip Anyolo, ambaye ndiye Askofu wa jimbo la Nairobi alisikika akisema kanisa Katoliki linapinga vikali matumizi ya matukio kama harambee na mikusanyiko mingine yanayoandaliwa na kanisa kutumika kama majukwaa ya kujitangaza na kujitafutia umaarufu wa kisiasa.

Askofu huyo wa kanisa Katoliki alisisitiza Wanasiasa wanahimizwa kuepuka kugeuza madhabahu kuwa jukwaa la hotuba za kisiasa, kwani vitendo hivyo vinadhalilisha utakatifu wa maeneo ya ibada.

Katika Harambee hiyo iliyofanyika siku ya Jumapili ya Novemba 17, 2024, Rais Ruto alitoa Ksh 600, 000 (sawa na Tsh12.3 milioni) kwa kwaya ya kanisa katoliki la Soweto na Baraza la Wamisionari wa Parokia. Pia alitoa Ksh 2 milioni (sawa na Tsh41.2 milioni) kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya padre, huku Gavana Sakaja akitoa Sh200,000 ( Tsh4.1 milioni).

Rais Ruto pia aliahidi kununua basi la parokia na kuongeza ahadi ya Sh3 milioni (TSh 61.6 milioni) nyingine kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya kasisi (Padre)

Kanisa Katoliki nchini Kenya limewahimiza viongozi wa kisiasa kuonesha uongozi wa kimaadili kwa kushughulikia masuala muhimu yanayogusa ustawi wa wananchi wote kama vile umoja wa kitaifa, mfumo bora wa ugharamiaji huduma za afya na elimu ya juu nchini humo, kupambana na rushwa, ufisadi pamoja na kuharakisha maendeleo kwa wananchi kwa kukamilisha miradi viporo.

Kanisa Katoliki nchini humo lilisitiza ni muhimu na lazima kanisa libaki kuwa chombo huru kisichohusishwa na ushawishi wa kisiasa, ili liweze kuhudumu ipasavyo kama mahali pa ukuaji wa kiroho na mwongozo wa jamii.

Hivi sasa nchini Tanzania kumeibuka wimbi la harambee za makanisa na mikusanyiko ambapo yamekua ni majukwaa ya waumini wenye nia na ndoto za kuwania udiwani na ubunge kujitangaza na kujitafutia umaarufu huku wachungaji na wazee wa kanisa wakiendesha kampeni za waziwazi za kisiasa juu ya watu hao.

Inashindikana nini kufika na kushiriki kama waumini wengine mpaka mchungaji au mzee wa kanisa aseme huyu ni mtarajiwa fulani na muhusika ajinadi ndio aseme anachochangia?

Dayosisi ya Kaskazini imejitambulisha nchini kwa kuwa na Askofu Dkt Frederick Onael Shoo ambaye ni mtu mwenye misimamo na mtetezi thabiti wa misingi na wajibu wa kanisa la KKKT kiroho na katika jamii kiujumla.

Naomba nimng'ate sikio kwamba mimi ni muumini mzuri wa kanisa la KKKT niliyelelewa na kukuzwa vyema kiroho. Najua umuhimu wa kutoa hususani maendeleo ya kanisa, injili na huduma ya diakonia. Ninachoona tofauti ni namna harambee hizi zinavyoendeshwa.

Hivyo awe macho na matukio ya harambee kwenye baadhi ya sharika kwani zinatumika kama majukwaa ya kampeni. (Nakamilisha vielelezo vya video, audio na picha nitaviweka hapa jukwaani).

Aidha sharika hizo hazitoi nafasi sawa baina ya waumini wa itikadi tofauti. Tulianza kuyaona Dayosisi ya Pare (Jimbo la Mwanga), tukawa tunaona Dayosisi ya Mashariki na Pwani (Dar), sasa imehamia Siha, Hai na Moshi.

Mbali na kanisa kuchukua hatua kulinda misingi yake ni vizuri TAKUKURU wakawa macho. Watu wanaoshiriki matukio haya ya michango wajulikane vyanzo vyao vya fedha ili kuepusha watu wenye fedha chafu kununua uongozi au watumishi wa umma kupora fedha za umma ili kuweza kukamilisha ahadi walizotoa kwenye harambee hizi.
 
Wanaonekana kua kisiasa wakiwa hawasapoti chama tawala ila chama tawala akitowa takrima ya gari wana pokea hiyo sio siasa
 
Kama unajua kingereza soma hiyo na uache kabisa kudanganya umma hapa👇
 
Yeye alipewa kiasi gani vile?
 
Shoo mwenyewe huwa anatumika kisiasa so hana credibility
Sio kweli! Acheni kuchukua dhambi kwa ushabiki wa mambo ya hovyo yasiyokuwa na ushahidi. Shoo akitokea hadharani na kukanusha taarifa hizo kwa kusema ulikuwa mchango wa Rais kwa usharika anaotoka Mh Mbowe kwa ajili ya ujenzi wa kanisa baada pia ya kuomba mchongo na Mbowe
 
Hujaelewa hoja kabisa ndugu, naona umetoka kapa, hilo Kanisa la KKK usharika wa Machame sio kanda hiyo hiyo ya shoo? Samia alitoa hizo 150 zake mfukoni? Mbowe alimkabidhi gari jipya Shoo kwa hela za nani? Connect dots...

Marehemu Albert MaNgwair alishaweka bayana kuhusu hili jambo kwamba "Viongozi wa siasa ni kama Viongozi wa dini, mengi wanaongea cause silaha yao ni ulimi..."

Wahenga wa kigaratia hunena kuwa "birds of the same feathers fly together"
 
Attachments

Back
Top Bottom