Jikite kwenye mada🙏Angeanza yeye kuheshimu maoni ya Waumini wake kwenye lile sakata la DPW na mchakato uliomrejesha Malasusa Madarakani ingependeza zaidi...
Wahi hospitali. Naona mambo yameanza kukuendea vibaya kiasi cha kushindwa hata kujua hoja inayojadiliwa. Pole sana. Tunakuombea urejelewa na ufahamu mapema.Angeanza yeye kuheshimu maoni ya Waumini wake kwenye lile sakata la DPW na mchakato uliomrejesha Malasusa Madarakani ingependeza zaidi...
WellAskofu Shoo ametoa kauli iliyojaa HEKIMA na BUSARA, akitoa maoni Kwa niaba ya CCT, amesisitiza kuwa maoni ya wananchi yatolewayo kuhusu namna Gani uchaguzi huru na HAKI ufanyike, yaheshimiwe, yatiliwe maanani na yatekelezwe.
Ukweli na usemwe tuSalaam, Shalom.
Askofu Shoo ametoa kauli iliyojaa HEKIMA na BUSARA, akitoa maoni Kwa niaba ya CCT, amesisitiza kuwa maoni ya wananchi yatolewayo kuhusu namna Gani uchaguzi huru na HAKI ufanyike, yaheshimiwe, yatiliwe maanani na yatekelezwe.
Amesema pia kuwa Si vyema mchakato huo ukatawaliwa na usanii. Ametoa kauli hiyo katika mkutano mbele ya baadhi ya wabunge waliohudhuria mkutano huo.
Amesema kuwa ikiwa mambo hayo matatu yatafanikiwa, watabarikiwa.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Amen.
Karibuni 🙏.
Source: Mwananchi digital.
Mnakaribishwa wote kama hujaenda ni shida yako sio yao.asiyaite maoni ya wananchi bali maoni ya wanasiasa
jiulize wewe kama mwananchi umeombwa lini kutoa maoni
usiniambie mwanasiasa anakuwakilisha
Walialikwa wananchi wote katika makundi mbalimbali na waliohudhuria.asiyaite maoni ya wananchi bali maoni ya wanasiasa
jiulize wewe kama mwananchi umeombwa lini kutoa maoni
usiniambie mwanasiasa anakuwakilisha
tuna mambo mengi ya kufanya ili mkono uende kinywaniMnakaribishwa wote kama hujaenda ni shida yako sio yao.
Unaaibisha JF aisee.tuna mambo mengi ya kufanya ili mkono uende kinywani
btw tunakaribishwa wapi maana nimeisikia leo
Matapeli tu. Wanazuga ionekane nao wamo.Hivi haya maoni wanayokusanya kila siku huko bungeni, nani wanaokwenda kuyafanyia kazi?
Kama ni CCM, basi tunapoteza muda tu, sijui kwanini hatulioni hili miaka yote
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
mimi siasa ilishanichanganya kichwa nikaona niachane nayoUnaaibisha JF aisee.
Unasikia leo wakati unashinda humu?
Watz mna vipaumbele fyongo.
Na bado hapa uko jukwa la siasa na unajadili siasa wakati unasema uliachana nayo?mimi siasa ilishanichanganya kichwa nikaona niachane nayo
Maana uongo mwingi kuliko ukweli
Mimi ni Rasta siendani na uongo uongo
Baada ya kuona jina la Askofu Shoo ikanibidi nifungue uzi kusoma zaidiNa bado hapa uko jukwa la siasa na unajadili siasa wakati unasema uliachana nayo?
Watz mbona wanafiki sana?