Askofu Shoo na Bagonza waanza mkakati wa kuwaondoa maaskofu, wachungaji wasiojihusisha na siasa. Wavunja Katiba kumuondoa Dk. Mwakitali Jimbo la Konde

Peleka hilo suala kwa waumini wenzako mlijadili, mkishindwana hameni Kanisa, makanisa yako mengi sana, pia mnaweza kuanzisha kanisa lenu, ni jambo rahisi sana hapa Tanzania.
Anavunja katiba ya kanisa huko, katiba mpya wapi na wapi na mtu wa hivi
 
Peleka hilo suala kwa waumini wenzako mlijadili, mkishindwana hameni Kanisa, makanisa yako mengi sana, pia mnaweza kuanzisha kanisa lenu, ni jambo rahisi sana hapa Tanzania.
Hatuhami kanisa, na tunajadili hapahapa
 
Hata Mtoto wako unawafundisha uongo kama huu?

Akija kufeli Form4 munaanza kusema walimu hawafundishi watoto kumbe ujinga unawapa wewe mzazi kwa uongo kama huu watoto wanakuamini.
 
Mkuu, hivi unaufahamu vizuri mgogoro wa dayosisi ya Konde? Nina mashaka, maana hata jina la Askofu aliyeenguliwa hulijui.
 
Basi yaeleze hayo mambo yake ya jeuri na kiburi ???!
 

 
Hawatafanikiwa
 
Ni kweli kabisa, shoo na bagonza ni wafuasi wa upinzani wanamuunga mkono freeman mbowe. Shoo kwa kiasi kikubwa ni ukabila na utabaka. Mabwanyenye wa kimachame wanatumia ukabila kujaribu kuwavuta wachagga wafikiri wanatengwa na kubaguliwa na ccm. Kitu hicho sabaya alifanikiwa kukipiga vita hadi hai wakagundua njama hizo kwa kuona jinsi mabwanyenye wa kimachame wanawanyonya na kuwadhulumu wanyonge.
Bagonza kwa hakika simuelewi sana ila naona ni kibaraka wa makabaila na mabepari uchwara na anatumiwa na nje.
Inasikitisha kuona kanisa la pili kwa ukubwa nchini kkkt linageuzwa kichaka cha wapinga maendeleo nchini.
 
Nimeshawaambia kanisa ni moja tu takatifu katoliki la mitume. Hakuna ushenzi Kama huo
 
Kuna mkopo wa bilioni moja kujenga chuo kikuu, inasemekana Bagonza na Shoo wamefanya mambo, dayosisi ya Konde inadaiwa riba bilioni nne, mchaga shoo kanusa pesa za Jimbo la konde
 
Wewe
Ukitaka angalau kushawishi watu kwa uongo, basi tafuta ukweli kwanza halafu ubadilishe kulingana na matakwa yako.
KKKT, dayosisi ni eneo linaloongozwa na Askofu na Jimbo huwa linaongozwa na Mchungaji tu.
Jimbo Ni sehemu ya eneo dogo ndani ya dayosisi linaloundwa na sharika chache ndani ya dayosisi.
Kwa hiyo umesema uongo KKKT haina Askofu wa Jimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…