PreGE2025 Askofu Shoo: Polisi msitumike na wenye Mamlaka kwa maslahi yao wasioitakia mema nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
230
Reaction score
793
Akitoa salamu za ujumbe wa Pasaka leo April 20,2025 katika Kanisa Kuu la Usharika wa Moshi Mjini, Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema “Mungu ametupa nchi nzuri sana Tanzania, tuipende nchi yetu, kila mmoja ajitoe kuona Tanzania yetu imekuwa mahali salama, na kuwa mahali ambapo kila Mtu atakaa kwa kufurahia na kujivunia kwamba tuna nchi nzuri, tuwe na hofu ya Mungu katika maamuzi na matendo yetu”

“Huu ni mwaka wa uchaguzi tuna wajibu wa kuchagua Viongozi, na ni haki yetu kupata Viongozi ambao watatupeleka mbele kama nchi, hivyo kama ambavyo Viongozi wa dini tumetoa wito Watanzania kushiriki uchaguzi, tumetoa wito kwamba haki na wajibu huu wa Raia kuchagua Viongozi wanaowataka isiiingiliwe na Mamlaka yoyote”

“Tunaomba sana uchaguzi huu usifanane na chaguzi nyingine zilizopita, ule wa 2019, 2020 na huu uliofanyika mwaka jana (2024), hatutaki kuona yale yaliyotokea katika chaguzi nilizozitaja yakijirudia, tunaomba wenye Mamlaka ya kusimamia uchaguzi huu, sikilizeni sauti za Wananchi, sikilizeni sauti za Viongozi wa dini na Wadau wengine wanaoitakia nchi hii mema”

“Msizibe masikio, pia nawaomba kwa kuheshimu sana Jeshi letu la Polisi, Polisi tunawapenda sana na tunawategemea sana kwa jambo la ulinzi, niwaombe katika uchaguzi huu msikubali kutumiwa kwa maslahi ya Watu ambao hawaitakii nchi mema, mlitutaka tutoe ushauri, tutoe maoni, tumetoa maoni, heshimuni maoni ya Watanzania, tutaendelea kusema na mwenye kusikia asikie”
 
Gentleman,
wajibu wa polisi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi ni kulinda usalama wa raia wote, makazi yao na mali zao na kuhakikisha wanawadhibiti na kuwakabili vilivyo wakiuka sheria waropokaji kwa maneno au matendo bili kumuonea haya, huruma na wala kumkenulia kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa anaevunja sheria kwa makusudi bila kuzingatia mayowe ya Askofu 🐒
 
Policcm hawawezi kuelewa. Kwa sababu wenyewe wanaona ni fahari kutumiwa na wanasiasa wabinafsi na waroho wa madaraka; kupora haki za msingi za raia.
 
Sijui kama watasikia hawa jamaa kijani ni kama wamemmeza shetani mzima mzima,walah nakuambia akili wanazotumia sio za binadamu huenda wamemmeza shetwani mzima mzima
 
Akitoa salamu za ujumbe wa Pasaka leo April 20,2025 katika Kanisa Kuu la Usharika wa Moshi Mjini, Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema “Mungu ametupa nchi nzuri sana Tanzania, tuipende nchi yetu, kila mmoja ajitoe kuona Tanzania yetu imekuwa mahali salama, na kuwa mahali ambapo kila Mtu atakaa kwa kufurahia na kujivunia kwamba tuna nchi nzuri, tuwe na hofu ya Mungu katika maamuzi na matendo yetu”

“Huu ni mwaka wa uchaguzi tuna wajibu wa kuchagua Viongozi, na ni haki yetu kupata Viongozi ambao watatupeleka mbele kama nchi, hivyo kama ambavyo Viongozi wa dini tumetoa wito Watanzania kushiriki uchaguzi, tumetoa wito kwamba haki na wajibu huu wa Raia kuchagua Viongozi wanaowataka isiiingiliwe na Mamlaka yoyote”

“Tunaomba sana uchaguzi huu usifanane na chaguzi nyingine zilizopita, ule wa 2019, 2020 na huu uliofanyika mwaka jana (2024), hatutaki kuona yale yaliyotokea katika chaguzi nilizozitaja yakijirudia, tunaomba wenye Mamlaka ya kusimamia uchaguzi huu, sikilizeni sauti za Wananchi, sikilizeni sauti za Viongozi wa dini na Wadau wengine wanaoitakia nchi hii mema”

“Msizibe masikio, pia nawaomba kwa kuheshimu sana Jeshi letu la Polisi, Polisi tunawapenda sana na tunawategemea sana kwa jambo la ulinzi, niwaombe katika uchaguzi huu msikubali kutumiwa kwa maslahi ya Watu ambao hawaitakii nchi mema, mlitutaka tutoe ushauri, tutoe maoni, tumetoa maoni, heshimuni maoni ya Watanzania, tutaendelea kusema na mwenye kusikia asikie”
Wahuni wana mzunguka igp, na wahuni wamemwambia Muhusika masuala dash dash tuache Sisi, tutakunyoshea kumbe wana haribu.
 
Duh ,this year is so bitter to CCM followers
Hawajielewi wanaichukulia hii nchi kama Mali yao binafsi. Kwamba wana ccm ndiyo wenye haki ya kujua amani na uvunjifu wake. Wanafikia hata kumpangia mwingine afikiri vipi
Kuwa tu ccm wewe unakuwa mjinga tayar
 
Akitoa salamu za ujumbe wa Pasaka leo April 20,2025 katika Kanisa Kuu la Usharika wa Moshi Mjini, Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema “Mungu ametupa nchi nzuri sana Tanzania, tuipende nchi yetu, kila mmoja ajitoe kuona Tanzania yetu imekuwa mahali salama, na kuwa mahali ambapo kila Mtu atakaa kwa kufurahia na kujivunia kwamba tuna nchi nzuri, tuwe na hofu ya Mungu katika maamuzi na matendo yetu”

“Huu ni mwaka wa uchaguzi tuna wajibu wa kuchagua Viongozi, na ni haki yetu kupata Viongozi ambao watatupeleka mbele kama nchi, hivyo kama ambavyo Viongozi wa dini tumetoa wito Watanzania kushiriki uchaguzi, tumetoa wito kwamba haki na wajibu huu wa Raia kuchagua Viongozi wanaowataka isiiingiliwe na Mamlaka yoyote”

“Tunaomba sana uchaguzi huu usifanane na chaguzi nyingine zilizopita, ule wa 2019, 2020 na huu uliofanyika mwaka jana (2024), hatutaki kuona yale yaliyotokea katika chaguzi nilizozitaja yakijirudia, tunaomba wenye Mamlaka ya kusimamia uchaguzi huu, sikilizeni sauti za Wananchi, sikilizeni sauti za Viongozi wa dini na Wadau wengine wanaoitakia nchi hii mema”

“Msizibe masikio, pia nawaomba kwa kuheshimu sana Jeshi letu la Polisi, Polisi tunawapenda sana na tunawategemea sana kwa jambo la ulinzi, niwaombe katika uchaguzi huu msikubali kutumiwa kwa maslahi ya Watu ambao hawaitakii nchi mema, mlitutaka tutoe ushauri, tutoe maoni, tumetoa maoni, heshimuni maoni ya Watanzania, tutaendelea kusema na mwenye kusikia asikie”
Askari wana maisha magumu sana. Alafu wanavyotumika kuwanyanyasa wanaowatetea kweli ndo utasema hawa jamaa wana ujinga sana vichwani mwao.
 
SHoo aache unafiki
Aseme tu No reform no election.
Au anaogopa kunyang'anywa gari?
 
Back
Top Bottom