Askofu Mkuu KKKT Dr Shoo amesema Rais Samia tangu aingie madarakani ameimarisha Sana Demokrasia na hii iko moyoni mwake kabisa
Askofu Shoo amesema Siasa Siyo Uadui hivyo ni vema vyama vya Upinzani vikawa Kioo cha Serikali kujitazama Utendaji wake
Source: ITV Habari