Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Uchafuzi wa serikali za mitaa, uchafuzi mkuu wa 28/10, na ukanyagwaji wa katiba unaoendelea umesababisha majeraha makubwa.Kwa laugha nyepesi
1. Atekeleze na kufuata katiba
2. Amwachie mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchafuzi wa serikali za mitaa, uchafuzi mkuu wa 28/10, na ukanyagwaji wa katiba unaoendelea umesababisha majeraha makubwa.Kwa laugha nyepesi
1. Atekeleze na kufuata katiba
2. Amwachie mbowe
Hao wakiona serikali iliyopo haina maslahi nayo ni kuleta vijembe mtu ni askofu anapata pesa ila bado anataka zaidpumbavu zake hana lolote ni tumbo lake ndo linalomsumbua, amejaa urafii na uroho wa pesa!!,aache uaskofu tumchangie mtaji wa biashara!! huyu bwasheee anasktsha Sana!!
Yeye ndiye anaweza kukuchangia Biashara; Wewe unaishi ukweni, yeye anaishi kwake, yeye anasomesha mayatima, wana hospitali ya KCMC ni leve au zaidi ya Muhimbili, wewe hata Kondom hapo ukweni unatumia za msaada wa watu wa marekani, in short huna guts ! wala chochote zaidi ya pumb* zinazoninginia hapo bila msada wowote wa wakwe zako.