Askofu Shoo, Wabunge Timotheo Mzava wa Korogwe na Dkt. Pallangyo wa Arumeru wanalichafua kanisa au wanachafuliwa?

Kiimani huko Sina shida Nako, hiyo ndiyo ni makosa ila ,

Kisheria Binti anahoja , pingamizi lake lisikilizwe.
Nimepata habari kwa mtu wa karibu kuwa walimuita kanisani binti kwa barua,lakini alipofika akaambiwa mzava kashindwa kufika sababu yupo safarini Dar.
 
Inasemekana huyo ana alishakubali kuachana hadi kwa barua kabisa na saini juu lakini wapambe wake wakaja mshauri akaenda kuoindua meza tena
Kama hakuwa na haki kwa nini aliachana na barua juu ya saini? Kwa nini alisainishwa kama alikuwa hana impact? Kuna mambo yanapepeswa hapa. Nimesoma Raia mwema inaonekana huyo Mbunge ni oppprtunist sana.

Kama kaamua kwenda kuoa kwa nini amuache mwezie na madeni aliyomsababishia yeye? Bad enough nasikia mshikaji anakataa hadi mtoto. Mshamba sana huyu kijana.
 
Kamfanyia vibaya sana binti wa watu mshikaji. Unakataa damu yako ili ukaoe mtoto wa mbunge.Hii dhambi haitomuacha salama
 
Umeongea point japo baadhi naona umetarua kama bata tu..Niliona gazetini huyo Anna anadai mali ambazo nyingi ni jasho lake zina jina la mzava ziende kwa mtoto wao.Lakini tena inaonekana mshkaji anakataa hadi mtoto.Ndo maana huyo demu kaenda mahakamani kuomba wapime DNA.Hili sakata ukiliangalia vzr inaonekana huyu mshkaji ana roho ngumu sana,hana staha.Mwanamke anakupambania hivyo unamsuprise na pete kwa mwanamke mwingine.Ata kama waliishi katika uzinzi ni nini kimemshindwa mzava kutatua haya matatizo kabla hayajawa faida kwa sisi watizamaji.Vijana wengi wakipata vyeovyeo wanajiona miungu mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…