Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mleta mada umepotosha kimtindo.Askofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma.
Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba atakuwa mgeni rasmi.
Hayo yameelezwa kwenye ukurasa rasmi wa Askofu Gamanywa kwenye mitandao ya kijamii.
Sisi wana Wapo Mission Tanzania tunachukua fursa hii kumpongeza Askofu wetu ambaye anaenda kuwa mchungaji wa kwanza wa makanisa ya kiroho kuwa Profesa.
Tuendelee kumuombea mtumishi huyu.
View attachment 2791174
Serikali ipige marufuku upumbavu huu haraka sana, una haribu na kuua kabisa ari ya watu kutafuta maarifa kitabuni.Mleta mada umepotosha kimtindo.
USAHIHI
Chuo kinachomtunuku askofu Gamanywa kinaitwa Outreach Care International (OCI) na sio chuo cha Mipango Dodoma. Lakini tukio hilo litafanyika katika ukumbi wa kukodisha uliopo ndani ya chuo cha mipango Dodoma. Huo ukumbi hata ukiwa na tukio lako la kipaimara, send off, birthday nk unaweza kuukodisha.
Hicho chuo cha Outreach Care International ni chuo cha mfukoni tu, hakipo popote kivile (physically), ni vyuo vya mtandaoni vya mchongo.
Nimejaribu kukiangalia, website tu hawana, haina chochoteMleta mada umepotosha kimtindo.
USAHIHI
Chuo kinachomtunuku askofu Gamanywa kinaitwa Outreach Care International (OCI) na sio chuo cha Mipango Dodoma. Lakini tukio hilo litafanyika katika ukumbi wa kukodisha uliopo ndani ya chuo cha mipango Dodoma. Huo ukumbi hata ukiwa na tukio lako la kipaimara, send off, birthday nk unaweza kuukodisha.
Hicho chuo cha Outreach Care International ni chuo cha mfukoni tu, hakipo popote kivile (physically), ni vyuo vya mtandaoni vya mchongo.
CCM hao wako kaziniWanatafuta mbinu za kuwaziba wachunga kondoo midomo
Huyu kihiyo asiye na hata udaktari stahiki amewahonga nini wajingaaa wanjingaaa hawa? Tanzania namna hii hatutaendeleaAskofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma.
Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba atakuwa mgeni rasmi.
Hayo yameelezwa kwenye ukurasa rasmi wa Askofu Gamanywa kwenye mitandao ya kijamii.
Sisi wana Wapo Mission Tanzania tunachukua fursa hii kumpongeza Askofu wetu ambaye anaenda kuwa mchungaji wa kwanza wa makanisa ya kiroho kuwa Profesa.
Tuendelee kumuombea mtumishi huyu.
View attachment 2791174
Uprofesa wa heshima upo lakini huu wa huyu tapelii ni kitu kingine. Ukimchunguza utakuta hata hana digrii ya kwanza.Hivi ni Uprofesa ama Udaktari wa heshima?
Uprof hautunikiwi ndugu. Lakini Udaktri wa heshima kama wa Samia, unatolewa.
Hii nchi imekosà viongozi makini wanaoweza kukemea upumbavuHuyu kihiyo asiye na hata udaktari stahiki amewahonga nini wajingaaa wanjingaaa hawa? Tanzania namna hii hatutaendelea
Wataukemeaje wakati nao ni vihiyo wanaoonea fahari shahada za heshima?Hii nchi imekosà viongozi makini wanaoweza kukemea upumbavu
Makonda atawesamaje wenye vyeti feki?Wataukemeaje wakati nao ni vihiyo wanaoonea fahari shahada za heshima?
Janja janjaUprofesa wa heshima upo lakini huu wa huyu tapelii ni kitu kingine. Ukimchunguza utakuta hata hana digrii ya kwanza.