Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

Makonda atawesamaje wenye vyeti feki?
Hata masta ya maza ni ya mazabe. Itafute uone ilivyo paper iliyoandikwa na watu zaidi ya mmoja.
Askofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma.

Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba atakuwa mgeni rasmi.

Hayo yameelezwa kwenye ukurasa rasmi wa Askofu Gamanywa kwenye mitandao ya kijamii.

Sisi wana Wapo Mission Tanzania tunachukua fursa hii kumpongeza Askofu wetu ambaye anaenda kuwa mchungaji wa kwanza wa makanisa ya kiroho kuwa Profesa.

Tuendelee kumuombea mtumishi huyu.

View attachment 2791174
Hayuko peke yake. Angalia andiko la master's ya mama yenu muamue in case lile nililobandika independently likauawa
 
Huyo ni muhaya msomi, haina shida hiyo, hata akipewa degree kumi, lakini hizi anazopewa mama yenu na zile PhD za biteko na jafo,ni upuuzi mtupu.
 
Hicho chuo cha Outreach Care International ni chuo cha mfukoni tu, hakipo popote kivile (physically), ni vyuo vya mtandaoni vya mchongo.
Hata hao wenyewe kwenye picha ukitazama midomo yao imekaa kimchongo
 
Back
Top Bottom