Kwahiyo wenzake wakisema ndioo yeye peke yake atakuwa anasema siyoo...Inakuwaje Askofu wa Kanisa kama Anglican anatoa hoja mfu kama hii!! Ukisharuhusu mambo kama haya si yataleta mtafaruku mkubwa nchini!
Baadae watadai KKKT, RC, AICT, Angalican, wasabato, TAG, EAGT, Waislam kila mmoja awe na mwakilishi bungeniWawe na mualikishi Ili iweje?!
Kimsingi ni hoja ya kijinga haina mashiko hata kidogoDuh hii wananchi tuikatae
Ova
Bodaboda nao wawe na mwakilishi waoSerikali haina dini apeleke tumbo lake huko
Kimsingi ni hoja ya kipumbavu snHilo bunge litakuwa lina udini wa kufa mtu. Kila dini na dhehebu litakuwa na muwakilishi wao, ongeza waganga wa kienyeji na wapagani jumlisha na waabudu shetani itakuwa ni vurugu tupu bungeni. Kama vipi viongozi wa dini wasimame wenyewe au kwa vyama vyao wagombee sambamba na wengine kama wanaona inapendeza. Au wajiunge na vyama vya siasa kama kina gwajima, msigwa, mwanjala, nantse wagombee ubunge kupitia ccm, chadema, act, cuf, chauma, nccra, tlp, tadea nk.