'Askofu' wa Freemason-TZ aitwe kutoa ushahidi kesi ya Kanumba!

Daktari aliyefanya hiyo postmortem ni nani na report hiyo umeipata wapi?

Yafuatayo ndo yaliwasilishwa na Dr. Innocent Mosha ambaye ni bingwa wa uchunguzi wa magonjwa ya binadamu na vifo vyenye kutia shaka kutoka MNH ambaye ni shahidi wa 4 kwenye kesi hiyo inayomkabili Lulu.

Daktari Mosha aliieleza Mahakama Kuu alichobaini baada ya kuufanyia uchunguzi mwili waSteven Kanumba kuwa walipofungua fuvu walibaini ubongo wa Kanumba ulikuwa umevimba.

Sasa maelezo uliyotupa umeyatoa wapi?
 
Na mimi nilisema kama kweli Kanumba alikuwa freemason basi lulu akawaombe msaada hao freemason.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…