'Askofu' wa Freemason-TZ aitwe kutoa ushahidi kesi ya Kanumba!

'Askofu' wa Freemason-TZ aitwe kutoa ushahidi kesi ya Kanumba!

Kifo cha msanii kanumba kimegubikwa na utata mkubwa.
Riport ya postmoterm (iliyosomwa na daktari kwenye hearing ya kesi ya Jamuhuri v/s Lulu) haioneshi kama Kanumba alikutwa na aina yeyote ya jeraha (either kwa kupigwa na kitu kizito au kuchomwa na kitu chenye ncha kali), hakukutwa na ugonjwa wowote, na wala hakuonekana kupewa sumu wala kunyongwa!
Kwa maana hiyo hakukuonekana external agency ambayo ingeweza kusababisha kifo hicho.
Riport hiyo ya daktari inaconclude kuwa Kanumba did not die of natural causes, he didnt die of unnatural causes but he may have died of mysterious causes.
Kwa maana hiyo kwa kuwa Kanumba amekuwa akihusishwa na uanachama wa Freemason ingekuwa vyema kama kiongozi wao akaja kushuhudia mahakamani iwapo Freemason walimchukua kikafara au hata kama aliwahi kuwa mwanachama wao ili ukweli ukatuweke huru.
Daktari aliyefanya hiyo postmortem ni nani na report hiyo umeipata wapi?

Yafuatayo ndo yaliwasilishwa na Dr. Innocent Mosha ambaye ni bingwa wa uchunguzi wa magonjwa ya binadamu na vifo vyenye kutia shaka kutoka MNH ambaye ni shahidi wa 4 kwenye kesi hiyo inayomkabili Lulu.

Daktari Mosha aliieleza Mahakama Kuu alichobaini baada ya kuufanyia uchunguzi mwili waSteven Kanumba kuwa walipofungua fuvu walibaini ubongo wa Kanumba ulikuwa umevimba.

Sasa maelezo uliyotupa umeyatoa wapi?
 
Na mimi nilisema kama kweli Kanumba alikuwa freemason basi lulu akawaombe msaada hao freemason.
 
Back
Top Bottom