Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Askofu William Mwamalanga, Mwenyekiti wa Kamati ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili ya Dini Tanzania, amewataka viongozi wa dini waliopokea fedha kutoka kwa Rais kuzirejesha, akiwataka kuiga mfano wa viongozi wa kidini wa Kenya waliochukua hatua kama hiyo kwa maslahi ya maadili na uwazi.
PIA SOMA

Sidhani kama watakubali.
 
Hela ni mtihani mkubwa sana
Mzee Ruge aligawa kama njugu hivi walizirudisha
 
Makanisa mengine ni njaa kali na hayana wafadhili/wahisani/wamisionari toka ulaya na amerika. Wanapokea tu hela hata kwa wenye dhambi kama wanasiasa na wasanii. Unakuta msanii ana tabia za kikahaba akitoa mchango wake unapokelewa kwa shangwe kubwa. Hao maaskofu wanaopokea fedha za wanasiasa ni wasaliti
 
Back
Top Bottom