Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ni matumaini yangu serikali ,itapata majibu ambayo hakutarajia , cheza na vingine sio Kanisa la mitume R.CRais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema hali ya kiafya Padri Charles Kitima, katibu mkuu wa Baraza hilo, inaendelea vyema na atarejea katika majukumu yake hivi karibuni.
Padri Kitima alishambuliwa Aprili 30, 2025 na kitu butu kichwani alipokuwa kwenye ofisi za TEC Kurasini Temeke jijini Dar es Salaam na kulazwa katika Hospitali ya Aga Khan.
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ilieleza kuwashikilia watu wawili wakishukiwa kuhusika na tukio hilo na kuwa watafikishwa mahakamani upelelezi utakapokamilika.
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Mwananchi limemtafuta leo Jumapili Mei 25, 2025, Kamanda wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro kujua upelelezi wa tukio hilo ulipofikia, lakini hakupatikana kwani simu yake ilikuwa ikiita bila kupokea na hata ujumbe mfupi aliotumiwa haukupata majibu.
Akizungumza leo kwenye misa ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Josephat Jackson Bududu, Rais huyo wa TEC amezungumzia afya ya Padri Kitima na matumaini yaliyopo.
Yeye ana bahati.. Wengine ndio hatutakaa tuwaone tena.. Tunamuombea mapumziko memaRais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema hali ya kiafya Padri Charles Kitima, katibu mkuu wa Baraza hilo, inaendelea vyema na atarejea katika majukumu yake hivi karibuni.
Padri Kitima alishambuliwa Aprili 30, 2025 na kitu butu kichwani alipokuwa kwenye ofisi za TEC Kurasini Temeke jijini Dar es Salaam na kulazwa katika Hospitali ya Aga Khan.
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ilieleza kuwashikilia watu wawili wakishukiwa kuhusika na tukio hilo na kuwa watafikishwa mahakamani upelelezi utakapokamilika.
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Mwananchi limemtafuta leo Jumapili Mei 25, 2025, Kamanda wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro kujua upelelezi wa tukio hilo ulipofikia, lakini hakupatikana kwani simu yake ilikuwa ikiita bila kupokea na hata ujumbe mfupi aliotumiwa haukupata majibu.
Akizungumza leo kwenye misa ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Josephat Jackson Bududu, Rais huyo wa TEC amezungumzia afya ya Padri Kitima na matumaini yaliyopo.
Unamanisha nini mkuuYeye ana bahati.. Wengine ndio hatutakaa tuwaone tena.. Tunamuombea mapumziko mema
Kanusurika kifoUnamanisha nini mkuu
Wana mikelele tuWakatoriki kwa mikwara mingi hawa jambo utasikia "kushambuliwa Kwa kitima serikali imegusa pabaya huyu mama(rais samia) hamalizi mwezi hapo ofisini"
Hujui Dunia mkuuWana mikelele tu
Wasishiriki vipi wakati mgombea Mwenza ni Mkatoliki kindakindaki. Au atajiuzulu?nawasiwasi kanisa katolic tz halitashiriki uchaguzi
Hata wewe huijui unless utuambie wewe ndiye uliyeiumba hii duniaHujui Dunia mkuu
Wahambuliaji wametumwa na mamlaka ya uteuziPolisiccm hawatafanya chochote kwenye hiyo kesi. Kwa sababu wana maslahi nayo, au iko juu ya uwezo wao.
Pumbavu , hujui Dunia ,na koma kunijibu, ni lazima sio ombi asema BwanaHata wewe huijui unless utuambie wewe ndiye uliyeiumba hii dunia
mlisema ule waraka ni fake wakati watu wanatembea naonawasiwasi kanisa katolic tz halitashiriki uchaguzi
Unauliza majibu ndio hayonawasiwasi kanisa katolic tz halitashiriki uchaguzi