Aslay aangukia kwa Alikiba

Aslay aangukia kwa Alikiba

Snitch2020

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
77
Reaction score
91
Mambo vipi wadau?

Leo asubuhi wakati nawasha redio nikasikia wimbo mpya wa Aslay unapigwa Clouds. Baada ya wimbo kuisha nikasikia Fredwaa akisema kuwa Dogo amesajiliwa kwenye Lebo ya Alikiba pamoja na msanii mwingine anayeitwa Jokate.

Ni jambo zuri sana japo sijaelewa mustakabali wa wale wasanii anaowasimamia mwenyewe Aslay watakuwa chini ya nani ama atamuvu nao kwa Kiba?
-------------

More details (updated by mods)..

Alikiba afunguka kuhusu kumsaini Jokate kwenye lebo yake na Aslay kujiunga Rockstar 4000


ASLAY: Sitegemei kuwa chini ya WCB wala Rockstar, nataka kuwa Mkubwa zaidi yao


CREDITS: Bongo5 & PerfectoTv
 
Mambo vipi wadau. Leo asubuhi wakat nawasha redio nikasikia wimbo mpya wa aslay unapigwa clouds. Baada ya wimbo kuisha nikasikia Fredwaa akisema kuwa Dogo amesajiliwa kwenye Lebo ya Alikiba pamoja namsanii mwingine anaeitwa Jokate. Ni jambo zuri sana japo sijaelewa mustakabali wa wale wasanii anaowasimamia mwenyewe Aslay watakuwa chini ya nani ama atamuvu nao kwa kiba.?
IMG_20171012_212322.jpg

Na huyu Dogo ndo alobeba daftar la nyimbo wakat wanamwagana Ya [emoji91]
 
Nilimsikia Asley anasema hawezi jiunga Wasafi wala label yoyote Tanzania. Sababu anataka akomae mwenyewe awe Mkubwa zaidi ya Alikiba na Diamond.
Sasa kama amejiunga na Rockstar ndio basi tena. Ukiangalia Ommy Dimpoz hakuna alichofanya baada ya kujiunga Rockstar.
 
Kama ni kweli basi tutegemee kuanguka kwa Aslay baada ya Kupanda juu Kwa kasi sana. Yuko wapi baraka da prince.?
 
ngoja tuone anaweza kuiokoa rockstar mkashangaa ikawa kama wbc
 
Wasanii gani ambao anawasimamia Aslay?? Au mtoa maada wakurupuka na news
 
Uzi huu wamejaa anti-Kiba wanaumia roho kusikia Aslay kufanya kazi na Ali K ,watanzania tuache roho za kichawi ,mtu hata huo mkataba hujui utakuwa unahusu vitu gani tayari mate yamekujaa mdomoni
 
Nashawishika kusema maamuzi yake hayako sawia
 
Back
Top Bottom