Aslay aangukia kwa Alikiba

Aslay aangukia kwa Alikiba

Hakuna shida maana ambao hawakuwa mashabiki wake na ni team Kiba watamuunga mkono rasmi..
Vita mpya mjin. Marombosso vs Aslay
Mboso ni hatari sana yule mtu...nyie ngojeni aanze kufumua madude tu Aslay mwenyewe ataanza kuufyata! kwa ya moto band at least Mboso ndo unaweza kumpambanisha na Aslay,lakini sio beka flavor wala yule base boy!
 
Ila angeendelea kukomaa mwenyewe ingekuwa vizur zaidi,maana alikuwa anakuja vizuri sana dogo as solo....ila sio mbaya kama ndo anatafuta exposure zaidi but anatakiwa aangalie vyema asijekuwa na bad approach halafu asifikie malengo. itakuwa work done is equal to zero.

Ila nimtakie kheri tu kwenye movement zake na huko aendako.
 
Ni moja ya maamuzi ya kipumbavu ambayo hayakutegemewa kufanywa na msanii mchanga kama Aslay....Alikiba mwenyewe hajiwezi,Ommy Dimpoz hoiiiii,Yuko wapi Baraka da prince?
Dogo ameingia mkenge kabisa bora ange baki peke yake,,,,,,
 
Huyo si dogo nae ana lebo yake inaitwa dingi mtoto na anawasanii wawili tayari....√√√
 
Hakuna shida maana ambao hawakuwa mashabiki wake na ni team Kiba watamuunga mkono rasmi..
Vita mpya mjin. Marombosso vs Aslay
Unajua kuna muda mwingine mtu anaweza akaandika post ukiisoma ukajua uwezo wa mtu kufikiri.

Yaan una kiwango kikubwa sana cha kufikiri napata picha ww kwenye draft hukamatiki.

Yaan woteee wataponda ila msingi upo hapa mashabiki w kiba watampaisha tuu hata akiimba upupu.

Afu Sasa hizi team mbili zimeongeza mahasimu mjini mrombosso na ashley

Lkn aliye ua YAmoto band, alikosea sana
 
Atakuwa mpumbav wa kutupwa kama kafanya hivyo
 
upande wa hovyo huyo mwenyewe anahitaji msaada
mdogo wake mpaka leo ni underground

Ila Queen Darleen yuko level sawa na Beyonce si ndio...??ndio msanii bora wa kike Tz si ndio,hata Mwl Nyerere watoto wake wapo tu mtaani wakati Pole pole ni katibu mwenezi wa chama alichokiasisi kwa ukaribu baba yao.
 
Mambo vipi wadau?

Leo asubuhi wakati nawasha redio nikasikia wimbo mpya wa Aslay unapigwa Clouds. Baada ya wimbo kuisha nikasikia Fredwaa akisema kuwa Dogo amesajiliwa kwenye Lebo ya Alikiba pamoja na msanii mwingine anayeitwa Jokate.

Ni jambo zuri sana japo sijaelewa mustakabali wa wale wasanii anaowasimamia mwenyewe Aslay watakuwa chini ya nani ama atamuvu nao kwa Kiba?
-------------

More details (updated by mods)..

Alikiba afunguka kuhusu kumsaini Jokate kwenye lebo yake na Aslay kujiunga Rockstar 4000


ASLAY: Sitegemei kuwa chini ya WCB wala Rockstar, nataka kuwa Mkubwa zaidi yao


CREDITS: Bongo5 & PerfectoTv

Kuanzia Leo sitakaa nisikilize wala kuhudhuria show ya huyu mbweha.
 
Nilimsikia Asley anasema hawezi jiunga Wasafi wala label yoyote Tanzania. Sababu anataka akomae mwenyewe awe Mkubwa zaidi ya Alikiba na Diamond.
Sasa kama amejiunga na Rockstar ndio basi tena. Ukiangalia Ommy Dimpoz hakuna alichofanya baada ya kujiunga Rockstar.
ommy tangu kajiunga rock star kaachia ngoma ngapi? mnamuogopa king na mnapondaga kila kitu lakini anawakimbiza anavyotaka yy kunguni nyie
 
Back
Top Bottom