Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Mwanamuziki aliyekuwepo Yamoto Band na anayetamba na ngoma mbalimbali kama Angekuona, Teja, Mhudumu, Natamba, na nyinginenzo anadaiwa kumtapeli meneja anayemuweka mjini
Meneja huyo anadai wana mkataba na mwanamuziki huyo na huwa anamlipia Aslay video zake na kodi ya nyumba na mahitaji mengine kwa makubaliano kuwa mapato ya show ya Msanii huyo watagawana
Hata hivyo meneja anadai Aslay baada ameshindwa kutekeleza makubaliano yao na amekuwa akimlia buyu na anapanga kumchukulia hatua za kisheria
Aslay akijibu tuhuma hizo amedai meneja huyo amekuwa akimpa hela kidogo tu ndio maana ametengeneza video ambazo hazina ubora na ndio maana akaachana nae