Aslay adaiwa kumtapeli meneja wake anayemlipia video na kodi, Meneja aapa kumchukulia hatua kali

Aslay adaiwa kumtapeli meneja wake anayemlipia video na kodi, Meneja aapa kumchukulia hatua kali

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mwanamuziki aliyekuwepo Yamoto Band na anayetamba na ngoma mbalimbali kama Angekuona, Teja, Mhudumu, Natamba, na nyinginenzo anadaiwa kumtapeli meneja anayemuweka mjini

Meneja huyo anadai wana mkataba na mwanamuziki huyo na huwa anamlipia Aslay video zake na kodi ya nyumba na mahitaji mengine kwa makubaliano kuwa mapato ya show ya Msanii huyo watagawana

Hata hivyo meneja anadai Aslay baada ameshindwa kutekeleza makubaliano yao na amekuwa akimlia buyu na anapanga kumchukulia hatua za kisheria

Aslay akijibu tuhuma hizo amedai meneja huyo amekuwa akimpa hela kidogo tu ndio maana ametengeneza video ambazo hazina ubora na ndio maana akaachana nae

 
wameshaanza! masikini Dogo wa watu Ndio kwanza nyota yake imeanza kung'aa tayari mnataka kumuwekea kauzibe
 
aiseee tunajua kama wasanii huwa wananyonywa obviously
 
Aaache ujinga kama kweli wanao mkataba na kuna vipengele vimevunjwa aende mahakamani kutAfuta haki yake sio kutafuta kiki....
Ni wazi huyu ndio ali report video ya huyu kijana you tube...
 
Back
Top Bottom