Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Kupewa nyumba bongo hiiHawa si walipewa nyumba na yule meneja diwani enzi zile au!?
Zipo, usibishe lakini kule ziliko kwa vijana ambao ndo wanaanza kuona raha ya maisha lazima waone hakuendani na waoKupewa nyumba bongo hii
Si ndio midiwani ya ccm hiyo mijizi, mitapeli kama baba yao huko juuHawa si walipewa nyumba na yule meneja diwani enzi zile au!?
UmeelewekaHawa si walipewa nyumba na yule meneja diwani enzi zile au!?
endelea kujidanganya labda ndiyo inakupa furaha ya maisha yako.
We gari ni kitu cha maana sana kwako eeh?Sasa toka yupo yamoto mpaka sasa anakipi cha maana anacho miliki?
Sidhani kama gari analo
Sasa toka yupo yamoto mpaka sasa anakipi cha maana anacho miliki?
Sidhani kama gari analo
We gari ni kitu cha maana sana kwako eeh?
weka chuki pembeni alafu uliza kwa staha uambiwe
ameripoti video ikawaje mkuu?Aaache ujinga kama kweli wanao mkataba na kuna vipengele vimevunjwa aende mahakamani kutAfuta haki yake sio kutafuta kiki....
Ni wazi huyu ndio ali report video ya huyu kijana you tube...
Ungechelewa sekunde tu, hili swali ningeuliza mimi.Hawa si walipewa nyumba na yule meneja diwani enzi zile au!?