Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mkuu punguza wivu pambana na hali yako, roho mbaya itakuuaSasa toka yupo yamoto mpaka sasa anakipi cha maana anacho miliki?
Sidhani kama gari analo
Kabisa yaani watu washaanza kumuwekea fitina mtoto wa watu bongo bahati mbayaDaaah penye riziki hapakosi fitina
kweli kabisa..hizi pesa ndio chanzo cha yote hayoKabisa yaani watu washaanza kumuwekea fitina mtoto wa watu bongo bahati mbaya
Aslay alisema kule ni mbali na town ivyo inamuwia vigumu kwenye kazi zake ila wezake wanaishi uko yeye kaamua kupanga..Ungechelewa sekunde tu, hili swali ningeuliza mimi.
Kule ni mbali haswa kwa msanii ambaye shughuli zake ni town....kuna itwa MBANDE-KISEWEAslay alisema kule ni mbali na town ivyo inamuwia vigumu kwenye kazi zake ila wezake wanaishi uko yeye kaamua kupanga..
Umewaza mbali sana mkuu,sikufikiria hilo la Ku report videoAaache ujinga kama kweli wanao mkataba na kuna vipengele vimevunjwa aende mahakamani kutAfuta haki yake sio kutafuta kiki....
Ni wazi huyu ndio ali report video ya huyu kijana you tube...