Aslay adaiwa kumtapeli meneja wake anayemlipia video na kodi, Meneja aapa kumchukulia hatua kali

Aslay adaiwa kumtapeli meneja wake anayemlipia video na kodi, Meneja aapa kumchukulia hatua kali

Figisu figisi zishaanza, kwenye mafanikio vitu hivyo havikosi.
 
Kabisa yaani watu washaanza kumuwekea fitina mtoto wa watu bongo bahati mbaya
kweli kabisa..hizi pesa ndio chanzo cha yote hayo

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Meneja wenyewe mbona mweusi kama Magu, au ndio yeye? Magu acha kauzibe bhana!
 
Aaache ujinga kama kweli wanao mkataba na kuna vipengele vimevunjwa aende mahakamani kutAfuta haki yake sio kutafuta kiki....
Ni wazi huyu ndio ali report video ya huyu kijana you tube...
Umewaza mbali sana mkuu,sikufikiria hilo la Ku report video
 
Dogo mrudishie hela yake atakutia gundu huyo
 
Back
Top Bottom