screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Namuangalia hapa live ananikosha sana, huyu ndo amekuja kuperfom sasa.
Harmonize: Simlaumu sana kwavile ndio show ilikuwa inaruka kwa mara ya kwanza, alichokosea muda mwingi aliutumia kuimba nyimbo mbaya ilimradi apromote album yake badala ya kuimba nyimbo zinazoeleweka
Nandy: Muda mwingi aliutumia kuimba nyimbo za wenzake na kutafuta kiki na BillNyoso
Alikiba: Maneno meeengi, mbwembwe nyiiingi hakuna la maana, binafsi aliniboa. Ni kama alienda kwa ajili ya kumtambulisha msanii wake
Sent using Jamii Forums mobile app