Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi kizuri, sema nakiona kikipoteza mvuto baada ya miezi kadhaa, kwakuwa wasanii wale cream watakuwa wameisha wataanza kuleta takataka kina Giggy MoneyHichi kipindi kuna kituo mtaa wa pili wamekiiga watu kimya,sasa hapa ndio wangekiiga WASAFI pasinge tosha humu.
Ila Majizo ni very creative na industry ya Bongo anaijua.
Best NasoKiba yeye hua ni undeground mkongwe.
Aslay kafanya fresh maana yupo vizuri kwa sauti na anaeza kuburudisha watu, hata mix za nyimbo zipo fresh
Nandy alifanya poa sana tofauti hata nilivyomfikiria. nahisu hukumuelewa maana alifanya nyimbo za kusikiliza zaidi..ofcoz she is NANDY
Kiba hata sikueza kuangalia muda mrefu. Ilikuwa boring na zile attitude zake. Plus ana sauti nzuri ila nguvu ya sauti kuimba muda mrefu HANA.
To sum up, Aslay is a better vocalist and peformer kuzidi wote

FNL ile pale ya EATV ni mmoja ya walio tengeneza kile kipindi na ndiye aliyekuwa mtangazaji wa kwanza wa FNL EATV Ssebo yupo vizuri.
Nakumbukaga enzi hizo alivyombana maswali Ray C kwenye FNL, dah jamaa ni version fulani ya Salama wa kiume[emoji1]FNL ile pale ya EATV ni mmoja ya walio tengeneza kile kipindi na ndiye aliyekuwa mtangazaji wa kwanza wa FNL EATV Ssebo yupo vizuri.
Akienda Barnaba utafuta Kauli yako mkuu..