music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
cloudsmedia wanapoteza mvuto dailyunamaanisha clouds fm hawajapenda
Kweli kabisa mkuu.Binadamu tunapenda kuona wenzetu wakigombana wapate kuingiza Fitna zao hapo hakuna ubaya naona Walitaka Aslay aponde wauze magazeti ya udaku.
aslay na mbosso mkubwa aslay ?
kilimkuta nini mbosso ?
pia na team kiba 100 wamelowacloudsmedia wanapoteza mvuto daily
Kiba atubu apewe promo wasafi tvpia na team kiba 100 wamelowa
cloudsmedia haina tena kick watu wameipotezea hawana jipyawale watapotea tu...ubabaishaje na much know inawakost
lazma ata tubuKiba atubu apewe promo wasafi tv