Aslay amtabiria makubwa Mbosso

Aslay amtabiria makubwa Mbosso

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
IMG_20180407_192328.jpeg


Baada ya watu kuongea mengi kuhusu awa member kutoka yamoto band.

Aslay ameonyesha hakuna lolote baya linaloendelea kati yao.

Haya sasa vijana tupambane tujenge nchi awajakubali kugombanishwa watafutaji wenzetu. Hii kuna ambao haitowafuraisha ila ndio hivyo amani imechukua nafasi yake.
 
aslay na mbosso mkubwa aslay ?
kilimkuta nini mbosso ?
 
Binadamu tunapenda kuona wenzetu wakigombana wapate kuingiza Fitna zao hapo hakuna ubaya naona Walitaka Aslay aponde wauze magazeti ya udaku.
 
Back
Top Bottom