Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Hapana yeye anatakiwa awe fire extinguisher au fire tingisha...Kwaiyo kama nchi inateketea yeye amekuwa fire rescue?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana yeye anatakiwa awe fire extinguisher au fire tingisha...Kwaiyo kama nchi inateketea yeye amekuwa fire rescue?
Kivp mkuu? Mkubw fela ndio mtunzi wake??? Mkubwa fella ndio ana control media nyingine apart from labda wasafi??? Ninacho jua jamaa abda ana influence za kwenye show but tumepita kipnd kirefu bila show ila wasanii flanflan bado wameendeelea kufanya vzr tuuMkubwa fella kampiga [emoji357][emoji357]kijana mdogo
Hicho unachojua baki nacho hivyo hivyoKivp mkuu? Mkubw fela ndio mtunzi wake??? Mkubwa fella ndio ana control media nyingine apart from labda wasafi??? Ninacho jua jamaa abda ana influence za kwenye show but tumepita kipnd kirefu bila show ila wasanii flanflan bado wameendeelea kufanya vzr tuu
Nadhani aina ya muziki wake imeshazoeleka hivyo anatakiwa kuja kivingine.
Fact walimshindanishaga na WCB Afu akavimba kichwa.Aslay anapigana vita ambayo mashabiki hatuioni. Kwenda kinyume na mkubwa fella ni sawa na mavoko kujinasua WCB. Mpaka kifo ndo wanakuachia mazima.
Mbosso anachange according to the time na kuangalia audience wanataka Nini,but for aslay hawezi fanya hicho kitu.Aina ya mziki wa asley una tofauti gani na mziki wa mboso
Maana umefeli Sana hapaTatizo analeta uswahili kwenye game/biashara kama mwezake alikiba.
Hakuna kupendwa kwa kuonewa huruma wafanye mziki mzuri kama wasafi
Ndilo jibu sahihi ,watu wanataka miziki ya kurusha rusha tunmikweche, sasa hii ya kulembablemba hatutakiNadhani aina ya muziki wake imeshazoeleka hivyo anatakiwa kuja kivingine.
Meneja anaitwa maneno unategemea nini hapo,mtu anajulikana tandika tu unampa umeneja.Lawama watapewa WCB mng,lkn mwanzo alivyokuwa anang'aa sifa alikuwa anapewa meneja Maneno.Aslay Kafeli kwenye management huwezi kutoa hit song 14 ndani ya mwaka mmoja,kama angekuwa anatoa tatu kali na mbili za kawaida kila mwaka Aslay mpaka sasa angekuwa bado wa moto.
Wenzake wana rekodi nyimbo nyingi alafu unachanganya kali na za kawaida wakati wa kutoa.
Yeah!Aslay anapigana vita ambayo mashabiki hatuioni. Kwenda kinyume na mkubwa fella ni sawa na mavoko kujinasua WCB. Mpaka kifo ndo wanakuachia mazima.