Aslay ana tatizo gani, mbona simuelewi?

Hahah watu mnacomment za kinafki

Wee mtoa mada umeangalia trend za nyimbo zake YouTube?

Maana usiwe ujafanya utafiti unakuja kupost post tu
 
Mkubwa fella kampiga [emoji357][emoji357]kijana mdogo
Kivp mkuu? Mkubw fela ndio mtunzi wake??? Mkubwa fella ndio ana control media nyingine apart from labda wasafi??? Ninacho jua jamaa abda ana influence za kwenye show but tumepita kipnd kirefu bila show ila wasanii flanflan bado wameendeelea kufanya vzr tuu
 
Hajawahi kuwa top 3 ao top 4 labda kwa clouds ..anyway aslay yupo insta naww kafunguw insta utamuona
 
Hicho unachojua baki nacho hivyo hivyo
 
Nyimbo zake nyingi zinafanana jinsi anavyoziimba, bila kumshirikisha mtu hawezi kutoa nyimbo ya kuchangamka.
 
Kuna yule wa clouds aliehamia e fm aliwahi kusikika akisema
(Aslay anajisikia Sana)
 
Wanapiga interview hata na sisimiz[emoji23]
 
Meneja anaitwa maneno unategemea nini hapo,mtu anajulikana tandika tu unampa umeneja.
Dogo alitakiwa kua na meneja mwenye kujua mziki sio mchumia tumbo
 
Aslay anapigana vita ambayo mashabiki hatuioni. Kwenda kinyume na mkubwa fella ni sawa na mavoko kujinasua WCB. Mpaka kifo ndo wanakuachia mazima.
Yeah!
Ruge Alijaribu kumbeba beba wakapiga colabo na Nandy wakafanya na-show, mapromo clouds yalikua kama yotee.. nyimbo zake zilikua zinapigwa clouds kama dozi vile kutwa mara tatu!
Ila ndo Ivo Rg kachomoka, CMG Naona kama wamemtema hiviii
Jamaa kabaki Anapambana mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…