Aslay asababisha varangati Bukoba

Aslay asababisha varangati Bukoba

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Ilikuwa siku ya Jana Dec 8 ambapo ilitangazwa Aslay atatumbuiza kwenye siku ambayo redio Kasibante iliyopo Bukoba inatimiza miaka 9 tangu ianzishwe, nyomi ya watu ilijitokeza kumsubiria msanii wao mwenye hit kibao mtaani, kumbe bwanamdogo ratiba yake imebana maana alikuwa na show Dodoma juzi na jana asubuhi , ikalazimika amtangulize dancer wake 'CHIBA' ili yeye akwee pipa jioni baada ya kurudi Dar,

Kama mnavyojua usafiri wa bongo bado hauaminiki sana, ndege ikachelewa kuondoka inasemekana shida ni hali ya hewa na huku show ilikuwa inaendelea, baada ya local artists kumaliza performance ilitakiwa Aslay apande, bahati mbaya alikuwa bado hajafika hivyo Chiba akapanda steji kuimba nyimbo za Aslay kupeleka muda, alichoambulia kurushiwa chupa na viti, na hapo ndipo ukawa mwisho wa show baada ya polisi kuja kuingilia kati....,

Dogo awe makini sana na ratiba zake, bila polisi kuwa jirani badamu bangemwagika jana!
 
Ilikuwa siku ya Jana sept 8 ambapo ilitangazwa Aslay atatumbuiza kwenye siku ambayo redio Kasibante iliyopo Bukoba inatimiza miaka 9 tangu ianzishwe, nyomi ya watu ilijitokeza kumsubiria msanii wao mwenye hit kibao mtaani, kumbe bwanamdogo ratiba yake imebana maana alikuwa na show Dodoma juzi na jana asubuhi , ikalazimika amtangulize dancer wake 'CHIBA' ili yeye akwee pipa jioni baada ya kurudi Dar, kama mnavyojua usafiri wa bongo bado hauaminiki sana, ndege ikachelewa kuondoka inasemekana shida ni hali ya hewa na huku show ilikuwa inaendelea, baada ya local artists kumaliza performance ilitakiwa Aslay apande, bahati mbaya alikuwa bado hajafika hivyo Chiba akapanda steji kuimba nyimbo za Aslay kupeleka muda, alichoambulia kurushiwa chupa na viti, na hapo ndipo ukawa mwisho wa show baada ya polisi kuja kuingilia kati...., Dogo awe makini sana na ratiba zake, bila polisi kuwa jirani badamu bangemwagika jana!
alaumiwe nani sasa....
 
sa bwashee wanilaumu nini sasa wakati dada ako alitaka mwenyewe,il samahani sana mana sikutumia kondomu ndomana kapata mimba isiyotarajiwa



Dah anavyolalamika unakibamia nimekubali aliwe tu nje na mashemeji wengine wanaomridhisha.


Eti ananiambia akikohoa kinatoka japo ni Dada yangu lakini kanifraisha.
 
ule mji ulivyo mgumu kimaisha, wanapata wapi 10000 ya kwenda linas
Aliyekwambia hivyo nani mbona ukiishi bukoba utatoboa tu kama uamini njoo uone watu walivyo na hela huoni walivyorecover faster baada ya tetemeko na majanga mengine
 
Aliyekwambia hivyo nani mbona ukiishi bukoba utatoboa tu kama uamini njoo uone watu walivyo na hela huoni walivyorecover faster baada ya tetemeko na majanga mengine
HAKUNA LOLOTE ## nisamehe kama nimekukera. ....naapa nitaongea ukweli daima ## BUKOBA HAKUNA LOLOTE
 
Mkuu wapi nimetaja neno international?
Achana haijui bk huyo anafikiri wahaya na watu wa bukoba ni washamba wakati bukoba INA muingiliano mkubwa watu wa aina mbalimbali kulingana na majiji kwa sababu ya kuwa mpakani sijui watakuwaje washamba
 
HAKUNA LOLOTE ## nisamehe kama nimekukera. ....naapa nitaongea ukweli daima ## BUKOBA HAKUNA LOLOTE
Una chuki tu kwa wahaya sio bure after all bukoba ni mji muhimu tz hasa kanda ya ziwa ndo maana IPO baada ya mwanza kwa umuhimu kanda ya ziwa
 
Mkuu wapi nimetaja neno international?
"Baada ya local artists kumaliza permance akatakiwa apande Aslay"

Hao kina Local ni kina nani!? Kama wao ni Local Aslay unamweka kundi gani?
 
"Baada ya local artists kumaliza permance akatakiwa apande Aslay"

Hao kina Local ni kina nani!? Kama wao ni Local Aslay unamweka kundi gani?
Local ni wenyeji wa mkoa huo aslay ni national artist
 
Back
Top Bottom