Aslay asababisha varangati Bukoba

Aslay asababisha varangati Bukoba

"Baada ya local artists kumaliza permance akatakiwa apande Aslay"

Hao kina Local ni kina nani!? Kama wao ni Local Aslay unamweka kundi gani?
Wahi fasta kwa Ras Simba ukajinoe kizungu
 
Dah anavyolalamika unakibamia nimekubali aliwe tu nje na mashemeji wengine wanaomridhisha.

Eti ananiambia akikohoa kinatoka japo ni Dada yangu lakini kanifraisha.
Daah kumbe we na dada tabia zenu zinafanana sikuwahu kujua hilo😀😀 mwambie akuazime nafasi yke uje kujionea yaliyomo....inaelekea hata chu.pi mnaazimana mana kuna siku alikuja amevaa boxer tommy akasema ni ya kaka angu nikajua anatania😀😀 kumbe ilikuwa yako bwashee😀😀😀
 
Unabahati mbaya kulelewa na bibi kijijini. Ndo maana hunanidhamu fakamsuru wewe
 
Achana haijui bk huyo anafikiri wahaya na watu wa bukoba ni washamba wakati bukoba INA muingiliano mkubwa watu wa aina mbalimbali kulingana na majiji kwa sababu ya kuwa mpakani sijui watakuwaje washamba
hiyo show ilifanyika LINAS?
 
Back
Top Bottom