instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Ilikuwa mbaya sana sijui vyombo vya habari huwa vipo? Mbona hawakutangaza hbr hizjamaa hawana huruma chiba ni mlemavu kuanza kumbonda mbona noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa mbaya sana sijui vyombo vya habari huwa vipo? Mbona hawakutangaza hbr hizjamaa hawana huruma chiba ni mlemavu kuanza kumbonda mbona noma
Ilikuwa siku ya Jana Dec 8 ambapo ilitangazwa Aslay atatumbuiza kwenye siku ambayo redio Kasibante iliyopo Bukoba inatimiza miaka 9 tangu ianzishwe, nyomi ya watu ilijitokeza kumsubiria msanii wao mwenye hit kibao mtaani, kumbe bwanamdogo ratiba yake imebana maana alikuwa na show Dodoma juzi na jana asubuhi , ikalazimika amtangulize dancer wake 'CHIBA' ili yeye akwee pipa jioni baada ya kurudi Dar, kama mnavyojua usafiri wa bongo bado hauaminiki sana, ndege ikachelewa kuondoka inasemekana shida ni hali ya hewa na huku show ilikuwa inaendelea, baada ya local artists kumaliza performance ilitakiwa Aslay apande, bahati mbaya alikuwa bado hajafika hivyo Chiba akapanda steji kuimba nyimbo za Aslay kupeleka muda, alichoambulia kurushiwa chupa na viti, na hapo ndipo ukawa mwisho wa show baada ya polisi kuja kuingilia kati...., Dogo awe makini sana na ratiba zake, bila polisi kuwa jirani badamu bangemwagika jana!
Si mkoaniKumbe Aslay kwa Bukoba ni "international Artist"?