Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Ray 4 real

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
801
Reaction score
764
Habari za mchana wana Jf ,

Mimi binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa Aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au vipi maana wimbo wenyewe una verse moja tu lakini mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi.

Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu dogo anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake hata kama umeachana na mwanamke huwezi kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.

Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]

Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..

Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji

So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudisappoint 90% ya wanawake Tz.
Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.

Habari za mchana wana Jf , mm binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi . Ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au VP maana wimbo wenyewe una verse moja tu lkn mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi .
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu do go anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake .hata kama umeachana na mwanamke huwez kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay . so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]

Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..

Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.

Sasa na wewe kwani kufua chuppi kuna ugumu gani?
 
Lakin mkuu hajakutaja wewe, ni huyo aliyebwagana nae, mbona kuna baadhi ya wanawake wakiachana na vidume vyao wanawatangaza mapigo ya kuku, mara vibamia[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila kwa mimi si busara unapoachana na mwenzi wako ukae kumtangaza mapungufu yake, hasa kwa wanaume huo unakuwa si uanaume bora wanawake naweza kusema ni hilba yao.. japo nikisikia nae anatangaza namuona punguani wa mwendokasi
 
Wewe ni 90% ya wanawake?

ubadilike, huo ndio ukweli wanawake mko hivyo
 
Lakin mkuu hajakutaja wewe, ni huyo aliyebwagana nae, mbona kuna baadhi ya wanawake wakiachana na vidume vyao wanawatangaza mapigo ya kuku, mara vibamia[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila kwa mimi si busara unapoachana na mwenzi wako ukae kumtangaza mapungufu yake, hasa kwa wanaume huo unakuwa si uanaume bora wanawake naweza kusema ni hilba yao.. japo nikisikia nae anatangaza namuona punguani wa mwendokasi
Najua hajanitaja mm na kati ya sifa alozitaja zote zimenipita kushoto ila tu sijapendezwa vile kumdhalilisha huyo mwanamke maana ni mwanamke kama mm ila tukisema ktk mahusiano yote watu waanze kuambiana mapungufu tutakimbiana
 
Back
Top Bottom