Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Kuntuuuu
 
HHhaha naona umegeuziwa kibao mleta uzi
Nacheka comment hizi
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Dogo aslay kaachia ngoma mpya inakwendwa kwa jina la kolo, ngoma ni kali kinoma aisee asikwambie mtu

Wakati huo huo beka naye kaachia ngoma mpya ambayo inaonekana kuwa kali kushinda hata ya aslay ni noma sana mazee madogo wanaendelea kutingisha game


LONDON BABY
 
Ukiiweka hapa itapendeza
 
Umeshakutana na papa la mwanamke linavyotoa harufu?
 
Dogo anaimba kwa stress saivi,zikiisha hutomskia tena,ana maumivu ya kuachwa
 
Agiza kinywaji ntalipia
 
Lakini wanamziki wa sikuhizi hawajui kutumia luga laini kidogo kwakweli hapo kwa jamii haipo sawa tfsida inatakikana zaidi maana mwombo unasikilizwa na wengi hata walio chini ya 18.
 
Fact
 

nimecheka kweli yaani huu uzi wako eti nawenyewe watu wamekukopi na kuweka kwenye blog zao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Dogo Aslay Hizi Sasa Sifa Zimezidi Kipimo..Umetuzalilisha Wanawake - Zinazosomwa
 
Kwani kamtaja mtu? Lakini kama yupo si abadilike
 
Nyie mnamshauri ujinga huyo dogo mbona nyie mnanuka makwapa kama chemba za choo, miboxer hamfui, mipmb inatoa harufu kama vyoo vya solo lkn watu wanawavumilia
Kwa hili povu nna mashaka huu wimbo umekulenga kwa asilimia zote
Pole sana jifunze usafi,wanawake wengi mnatema sana nyetini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…